Mtambuzi
Platinum Member
- Oct 29, 2008
- 8,810
- 15,393
Mwenzenuu, usiku leo silali,
Nateseka usingizi sipati huwa nabaki nahangaika,
Kuyasema yote, ninayaona siwezi, yasije yakaleta, udadisi kwa watu bure
Shahidi yangu ni mama watoto, yeye anajua,, kwani huwa aniona ninavyohangaika X 2
Naalalaaaa, kwa kwa tabu mie, walisema watu lisemwalo kama halipo laja ..X 2
Ingekuwa ni ndoto wala mimi nisingejali oooo, nawaelezea enyi walimwengu muyajue mateso yangu ..

Uwaonao wazuri, wabaya ni hao haooo . Tena wapo humu humu JF
Amini usiamini kukuchekea sio kufurahi na we dada aaaa .

**************************************************************
Leo nimekumbuka wimbo huu wa Sikinde enzi hizo nikiwa bado damu inachemka.......................