Ni kama miaka mitatu sasa imepita tangu niingie kwenye uhusiano na masicha mmoja jina(ninalo), tulianza mahusiano mwaka 2009, nikiwa chuo kikuu yeye akiwa bado anasoma kidato cha tatu baada ya kufeli na kurudia mtihani wa kidato cha nne shule moja hapa dar Bakiri Mluzi, ambapo licha kurudia mtihani alifeli pia, chakushangaza dada huyu ni yatima ambaye kwa madai yake wazazi wake walifariki akiwa mdogo na alikuwa na mdogo wake amabye pia alifariki si muda mrefu baada ya kifo cha wazazi wake kwa maelezo yake, tulipoingia katika uhusiano alihahidi kunipenda sana, ila alikuwa akionekana kutojiamini hasa baada ya kufeli tena mtihani.nilijitahidi kumtia moyo, kwa kuwa alikuwa anakaa na mzee mmmoja afisa wa ikulu ambaye ni mzaliwa wa iringa mzee yule hakuwa na husuda zaidi ya kujitolea kumpeleka shule na baada ya kushindikana kufaulu mtihani alipelekwa chuo cha magogoni hapo posta kusoma record! lakini pindi tuko kwa mahusiano hasa baada ya kuanza chuo alianza kuonekana kama amebadilika na baada tukawa tunagombana sana, nikimuuliza kama amepata mtu mwingine anadai ana mtu, kama mara tatu hivi alikuwa akidai kuwa anamimba zangu hauku badae akihailisha, baada ya mwaka nikiwa nimemaliza chuo na nikiwa kitaani najituma mtoto wa kiume, akawa anataka pesa sometime nikiwa sina pesa analalamika sana, tumeenda mwisho akawa ata haki yangu yangu nikawa ananiwekea vikwazo kuipata, muda si muda nikawa namwambia ipo siku utanitafuta sasa amenasa yule mzee mume wa mama yake mkubwa kamfukuza kaolewa na jamaa anakaa kijichi sasa na si o,bey kama alivyozoea kwasasa tayari ana baby boy, kiukweli mimi bado anmpenda na yeye anaonesha nia ya kunitafuta sana lakin anaishi ana mtu licha yakuwa hawaja oana mtu mwenyewe anakaa arusha kamwacha dar na mtoto, mimi namwona kama mke wa mtu jana tu aliponiambia anamtoto sikuamini macho yangu na moyo ulinipasuka sana. nikashindwa ata kula, katika maongezi yet unilipo mtania kuwa mtoto wa pili lazima awe wangu akadai hamna shida, kiukweli mwenzenu nipo sijielewi kabisa maana nilimpenda lakini ndiyo hivyo tunda langu alidiriki kuligawa wakamliazia maganda naumia ile mabya.
SEHEMU YA PILI!
Kisa cha pili katika kuwasiliana na yeye mara kwa mara mwaka jana tu nikakosea namba moja mara simu ikaingia kwa binti mwingine ambaye kwangu nikama muujiza wana same story naye hana wazazi ila sasa yeye yuko arusha ila ni mzaliwa wa tabora naye anaishi kwa mama yake mkubwa, aliacha shule na kuamua kukimbilia kwa mama mkubwa wake baada ya baba yake mdogo kugoma kumlipia karo kwa madai kwamba alibadili dini kutoka uislamu na kuingia ukristo baada ya kukosea namba akaanza kuwasiliana na mimi na baadae akanipa mkasa wa maisha yake ambayo ni sawa na yule wa kwanza yatima, kiukweli ananipenda sana tena sana, tatizo ni pale anapo piga simu namkumbuka yule wa kwanza nakuzidi kupata wakati mgumu sana, jana nilijikuta natuma txt ya huyu mwenye mtoto kwake alikasirika sana, badae nikmdagnya akakubali, ni mpiganaji sana ivi sasa anasoma kama mtahiniwa wa binafsi anajisomesha huku akishona cherehani kujipatia mahitaji mhimu yakiwemo karo ya shule, si mhudumiii kwa kitu chochote na sasa anadai nikahamie arusha tuanze maisha na kuwa yeye hajali kama nina kazi wala sian kazi mimi kwasasa nipo dar, na bado sijapata kazi ila ni mhitimu wa chuo kikuu, wadau wenzangu NAOMBENI USHAURI MIMI SIJIELEWI YULE WA KWANZA NAMPENDA SANA, na huyu wapili anangangania sana, ila yule wakwanza jana nilipatia maksa akalia sana na kunipa pole nyingi wa pili bado sijamwambia naogopa atahumia sana na kuchukia, MIMI SIJIELEWI KABISA NISAIDIENI MWENZENU NIFNAYE NINI.
NI NINACHO TAKA NI USHURI WENU!
Mn ishauri nifanye nini maana nashindwa kuamua yule mpenzi wangu wa mwanzo ambaye sasa ameisha zaa na mtu anatafuta muda mwingi na kuamsha madonda yale ya kunisaliti na huku huyu aliye tokea kama miujiza akinipigia simu ananikumbusha mkasa mzima wa kusalitiwa maana historia zao, namba za simu zinafanana isipokuwa namba moja na pia huyu wa pili nilkutana naye kwenye harakati za kuwasiliana na huyu wa zamani. Kiukweli sijui nifanye nini ili niwe huru na mataka hawa wawili maana kila anayewasilaina na mimi nakumbuka mkasa wote huu...!