Anatakiwa afungue kituo cha kule mayatima
Na huyu ni chuo kikuu, no winder hana kazi hadi sasa
poe sana b ut miasha ni mbele na nyumba simama tena kwa kuangalia upande wa pili maisha ni kuchagua!
saudari hebu niambie umeelewa nini hapo juu au kwa kifupi hiyo habari hapo juu inasemaje
dada white hivyo ndo vyuo vyetu maana nimesoma mara mbili mbili sijaelewa anamaanisha nini na anataka ushauri ganiKwa kweli mi nilichoelewa huyu jamaa ana mvuto na watoto yatima so ushauri wangu afungue orphanage tu.Siamini mwaname tena umemaliza chuo unashindwa kuorganise story na kuiandika ikaeleweka naona unarukaruka tu.
dada white hivyo ndo vyuo vyetu maana nimesoma mara mbili mbili sijaelewa anamaanisha nini na anataka ushauri gani
Na hapo mtu anasema amemaliza chuo anashindwa kuunganisha story ya kiswahili ikaeleweka anashindwa kuyatoa mawazo yake kichwani akayaweka kwenye maandishi
We wa SAUT nini?
story ya kweli!
dont be bothered life goes life come, every thing may happened due to some reasons! sso ur failure may be challenge to you! start new page........... kwa style nyingine!
Hebu jaribu kurudia sentensi uliyoiandika ndo utaelewa nyie wanafunzi wa saut jinsi gani mna matatizo ya matamshi,sarufi,muundo,mtindo kwenye luha yenu hadi vichwani mwenu.Sorry sikulenga kukudharau ila umenivutia niyaseme haya.SAUT hauna kama huyu