mwenzenu nimefumaniwa na mke wa mtu!

mwenzenu nimefumaniwa na mke wa mtu!

we mbaba wanawake zako wote hawajakulaza mpaka mda huu??
 
Mwenzi mtukufuu huu ujue, naomba nikuchongee kyupi la chuma maana umesha shindikana
 
Mkuu hala hala na Ma..sa.bu.ri yako, wasije wakakukula....
 
Papaa Bishanga, Wakati mwingine uwe una kodi mabaunsa.

Au nawe uanzishe "red brigade" ili ikulinde unapokuwa kwenye ufuska wako.
 
Last edited by a moderator:
Bishanga mwezi wote huu mtukufu bado tuu hujaweka stop kwenye hizo mambo
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hala hala na Ma..sa.bu.ri yako, wasije wakakukula....

Mkuu TANMO, unamaanisha kuna watu wanakula masa.buri kama kiti moto au yanaliwaje? I mean.....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom