mwenzenu nimechokonoa mzinga wa nyuki

mwenzenu nimechokonoa mzinga wa nyuki

Uda

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2010
Posts
811
Reaction score
623
Mzinga wa nyuki ni hatari sana!
Miezi minne iliyopita nilichokonoa mzinga wa nyuki,kilichotokea ni nyuki mmoja dume aliyeshiba akanidunga mwiba wake halafu akatema sumu ..kilichotokea ni maumivu kiasi na uvimbe ambao unakua taratibu.nimeuliza kwa wataalamu wameniambia uvimbe utaendelea kukua mpaka wiki 40,waswahili wanasema miezi tisa!
Napata kichefuchefu hasa wakati wa asubuhi,
chonde chonde,mwenzenu nimekoma kuchezea mzinga wa nyuki!
 
wanasemaga fwata nyuki ule asali.....
ila ndo hivyo mara nyingine unatoka na manundu......
kila la heri
 
  • Thanks
Reactions: BAK
wanasemaga fwata nyuki ule asali.....
ila ndo hivyo mara nyingine unatoka na manundu......
kila la heri

asali nilikula!ni tamu lakini kijiba cha nyuki hatari.
 
mhm.....jamaa katia kitu ndani safi kabisa....sasa mie nataka kugegeda pregnant lady vipi upo ready?
 
Imenichukua muda kuelewa unamaanisha nini, hongera.
 
unaonaee!, mali bila daftari........? ..akriii, au ni ile ya... bandu bandu........? au ni ile ya nanii nini? ...Kidogo kidogo.....?

Hongera sana umemkubali mwanao.
 
Back
Top Bottom