Mwenzenu napenda attention!!

hyo ya mme au b/f wa mtu. Try to be much more careful coz what goes around...kama unafurahshwa na matokeo then endelea

Kwa hiyo mimi nnavotaka wa mwenzangu..,kuna mtu alimtaka wangu??ama..??
 
kwani mkuu kutembea na mume au b/f wa mtu ikigundulika hapa jf unakula life ban nini?
mbona wapo wengi humu ndani? au huwajui
ahahaaa otherwise u made my day
Smile wanaweza wakam Lulu akapotea katika uso wa JF sidhani kama ni Ban
 
Last edited by a moderator:
Smile..labda kama unakula cha mwenzio kula kimyakimya majirani wasijue!!
personally nashindwa kukushauri cause naona nina interest tofauti na wewe eg sipendi kabisa kupendeza ile kujiremba too much ili kila mtu aniangalie ,tena nikijua nimependeza sanaaa siwi comfortable nipo makini sana sipendi attention
kuhusu mume/bf wa mtu ..huko ndo kabisa sisogei ..... sipendi kabisa partner wa mtu
u know what phina ..... hayo maisha unayotaka kuyaanza sio mazuri kabisa .... ulikuwa nice kid sio ... pls change ... sometimes huwa tunaacha njia nzuri tunaendea njia zetu wenyewe zilizo mbaya... na mwisho wake ni majuto.....
moyo huwa ni mdanganyifu sometimes ..... tena sana ... in this world kama lady kuwa makini sana tena sana...... mmmmh
 
Jamani..all my life i have been a good kid.lakin of late i feel like i am loosing it..i just feel like the world revolves around me-at least it should!
I am trying to keep this under control but the harder i try the worst it becomes!
i wear very low neck lines kuonyesha cleavage and wear short skirts..the shorter the better!!
It is just soo..thrilling when people talk about me or look at me.
Is this normal-or am I some psycho b!t(=??
now i want to flirt with somebody elses man-make him mine if it pleases me..hello??if i can do it why not do it??
Ngoja nipokee simu nakuja.....haiwezekani.....
 
I SEE YOUR ARE ON A VERGE OF MAKING THE BEST OUT OF YOUR LIFE!
You are not alone dear, almost all teenagers think the same, wish the same(who wouldn't like the world to revolve around him/her, right?)
You see the problem with this is; It comes a time in your mid life when you sit a look back at your teenage years and regret much to see how silly and stupid you have been, but even worse you remember some things and the impact they had on your life is unbearable to even think about them...
Trust me : you can never handle the cost of the world revolving around you
:nono:...go back to school mdogo wetu.
 
Jamani..all my life i have been a good kid.lakin of late i feel like i am loosing it..i just feel like the world revolves around me-at least it should!
I am trying to keep this under control but the harder i try the worst it becomes!
i wear very low neck lines kuonyesha cleavage and wear short skirts..the shorter the better!!
It is just soo..thrilling when people talk about me or look at me.
Is this normal-or am I some psycho b!t(=??
now i want to flirt with somebody elses man-make him mine if it pleases me..hello??if i can do it why not do it??

Ntafute. Mi ndo kiboko yenu.
 
phina, cjui kama walkuchukulia but utapoanza kuchukua cha wengne chako kpo hatarn.
 
Last edited by a moderator:
Tatzo kwako ni moja tu...,unataka kuish juu ya jna ndo mana unataka nguo na maisha ambayo kla mtu atakutambua. Be u n always u. Ucangalie "maigizo "ukataka kuwa hvo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom