Mwenza bora anahitajika

Mwenza bora anahitajika

niliwaza mbali aise. Icho kigezo nimekifaulu. Itabidi niache tizi ili nitafute kakitambi ka kuzugia

Adi kufika mwezi wa10 takuwa nishapata vigezo ata10. Ngoja nipambane aise
Ahahaha tena inatakiwa upambane haswa. Sio mchezo ohoo. Maana hii nafasi itakupita.
 
Back
Top Bottom