Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,836
Akipatikana niambie na mm nishushe waraka hapaAhahahaah yani Namtamani huyo mtu aisee atakayekidhi hivyo vigezo.
Akipatikana niambie na mm nishushe waraka hapaAhahahaah yani Namtamani huyo mtu aisee atakayekidhi hivyo vigezo.
Ahah ata usihofu. Lazima nimtaje aliyefikisha vyote. Ila mrejesho wa maendeleo ni baada ya mwaka.
mwaka mbali mno punguza kidogoDah! kule kwenye ule uzi hata mimi niliwahi kuchangia mara moja na kukiri ya kwamba huwa naupitia mara kwa mara ule uzi kwa lengo la kusoma stori za mabaharia na namna 'wanavyokula kimasihara'.
Vigezo vyote hivyo au hutaki tuje PM..???Ahaha kwanini mkuu
Mungu ni mwemaAmina Amina dada, atapatikana.
Hata miezi6 inatoshaAhaha wiki 3 nilete ushuhuda apa. Hiyo itakuwa ni uongo kwa kweli. "Ananipenda sana, yuko bora kuliko wote,ana mapenz ya dhati, sijui alichelewa wapi""... Ahahah loooh haiwezekani.
hauko serious PAhahaha hiii weweee


Ahahaha masharti hayapunguziki. Kwani wewe huna ata kimoja mkuu?
Khaaa! hebu njoo pm hukoSawa..utuletee na mrejesho..Dada ako nipo kutafuta namimi![]()


Hapo mi vyote ninafiti maana ni mndaliAisee vigezo ishirini na moja kwa maneno, kila rakheri katika kumpata huyo malaika duniani hapa hapa![]()



niliwaza mbali aise. Icho kigezo nimekifaulu. Itabidi niache tizi ili nitafute kakitambi ka kuzugia


Ahahaha jaribu kuchangia uone utakavyokuponza.