Mwenza bora anahitajika

Mwenza bora anahitajika

Ahahah eti mme anakuja kwa style hii?
tena kwa staili ambayo hutegemei kabisa, nasubiri tu wamelize audition uko pm nije nikuchuke tukaanze maisha, maana wasije lalamika hawakupewa nafasi si unajua tena jf 😛 😛 na nina sifa moja tu kati ya hizo zote
 
tena kwa staili ambayo hutegemei kabisa, nasubiri tu wamelize audition uko pm nije nikuchuke tukaanze maisha, maana wasije lalamika hawakupewa nafasi si unajua tena jf na nina sifa moja tu kati ya hizo zote
kwa hiyo bingwa ndo ww mwenye cfa moja
 
Back
Top Bottom