Mwenyezi Mungu tujaalie tupate Magufuli Mwingine

Yaani we wacha tu,tumerudi kulekule tulikotoka, rushwa imeanza kuota tena mizizi, tuseme ukweli sasa huduma zimekuwa ghali na kama huna kitu mkononi hakuna atakuita na kukuuliza shida yako,utaangaliwa tu pengine uambiwe neda kule na huku.

Na ukitaka kujua angalia kwenye mambo ya passport hapa utaweza kuona ni kwa kiasi gani tumerudi tulikotoka.

Unahitaji pasi ndani ya siku basi weka laki tano unaletewa nyumbani,huna utaambiwe ulete viapo na makaburasha ya bibi yako babu yako na hata wale usio wakumbuka na kama haitoshi lete hati ya kiapo na hapo unapigwa kalenda,migration wamecharuka, Kitu ambacho wakati wa Magu ni jambo la siku mbili tu,jaza fomu weka picha kitambulisho cha Utaifa umemaliza kazi siku ya piili unapokea pasi yako.

Mwenyezi Mungu ametupa somo ambalo inafaa turudi nyuma na kumtaka msamaha,hakuna kama magufuli na dalili sizioni ,ni lazima tuombe tena atupatie kama yey,ye. Vyombo vilivyopo sasa ni vya kusukumana ni vile vya ukimwaga mboga namwaga ugali, wanaogopana,wanalindana ,wakati wake akipata fununu tu anafuatilia kiaina siku ya pili unasikia jamaa hana kazi tena mbele za watu na kama haitoshi anakupa data zote ni jinsi gani umehusika katika kuvuruga.

yapo mambo alikuwa na kasoro ila sio yeye ni wale vitimba kwiri wanaotaka sifa na kujipitisha na alikuwa hata hao akiwapatia nafasi huwalipuwa tumeona akina makonda na wengine walikuwa wapo kwenye line zake, tuseme Nchi ilikaa sawa katika utowaji haki kwa kila raia haswa wale aliowaita wanyonge. Na wanaovuruga bado wapo na ndio hawa wanaopandikiza kesi za uongo, kubambikiza ndio wanazidi kuichafua nchi wakiamini wanalinda maslahi yao.

Naamini dua itaitikiwa na kupata mshika gongo mwengine.
Hatuhitaji kuongozwa na kichaa mwingine, inatosha
 
Utakuwa unalaana wewe sio bure
 
Yaani kwamba kwa sababu umepata changamoto ya kupata passport huko uhamiaji ndio unakuja kuharisha hapa?

Mbona mimi sijayaona hayo unayoyasema au wewe unaishi Dunia Yako? Utakuwa mhamiaji haramu wewe peleka vielelezo kuandika upuuzi humu haitakusaidia.
 
Rais asiyejali h
Yaani we wacha tu,tumerudi kulekule tulikotoka, rushwa imeanza kuota tena mizizi, tuseme ukweli sasa huduma zimekuwa ghali na kama huna kitu mkononi hakuna atakuita na kukuuliza shida yako,utaangaliwa tu pengine uambiwe neda kule na huku.

Na ukitaka kujua angalia kwenye mambo ya passport hapa utaweza kuona ni kwa kiasi gani tumerudi tulikotoka.

Unahitaji pasi ndani ya siku basi weka laki tano unaletewa nyumbani,huna utaambiwe ulete viapo na makaburasha ya bibi yako babu yako na hata wale usio wakumbuka na kama haitoshi lete hati ya kiapo na hapo unapigwa kalenda,migration wamecharuka, Kitu ambacho wakati wa Magu ni jambo la siku mbili tu,jaza fomu weka picha kitambulisho cha Utaifa umemaliza kazi siku ya piili unapokea pasi yako.

Mwenyezi Mungu ametupa somo ambalo inafaa turudi nyuma na kumtaka msamaha,hakuna kama magufuli na dalili sizioni ,ni lazima tuombe tena atupatie kama yey,ye. Vyombo vilivyopo sasa ni vya kusukumana ni vile vya ukimwaga mboga namwaga ugali, wanaogopana,wanalindana ,wakati wake akipata fununu tu anafuatilia kiaina siku ya pili unasikia jamaa hana kazi tena mbele za watu na kama haitoshi anakupa data zote ni jinsi gani umehusika katika kuvuruga.

yapo mambo alikuwa na kasoro ila sio yeye ni wale vitimba kwiri wanaotaka sifa na kujipitisha na alikuwa hata hao akiwapatia nafasi huwalipuwa tumeona akina makonda na wengine walikuwa wapo kwenye line zake, tuseme Nchi ilikaa sawa katika utowaji haki kwa kila raia haswa wale aliowaita wanyonge. Na wanaovuruga bado wapo na ndio hawa wanaopandikiza kesi za uongo, kubambikiza ndio wanazidi kuichafua nchi wakiamini wanalinda maslahi yao.

Naamini dua itaitikiwa na kupata mshika gongo mwengine.
Kiongozi asiyejali hata madaraja ya watumishi ndiye unayemtamani

Walimu walimuibia kura sana bila kificho kwa kufikiri atawapandisha madaraja lakini zero mpaka kuondoka.

Wanaomtamani ni ninyi mliokuwa mkila mkisaza mik**du ikija*mba 24/7
Mirija yenu imekatwa mnalia 24/7
 
Naunga mkono hoja....

Tena ikiwezekana awe gangwe, katili na mnyama zaidi ya JPM dhidi ya hizi pumbavu..

Hili linchi kuna watu wanachukulia masikhara na kuleta theory, hili linchi halitaki theory za utawala wala democracy, hili linchi ili liende linahitaji ubabe zaidi ya ule wa marehemu..
 
Chadema walisema amekufa watakula raha badala yake wao ndiyo wanaliwa raha gerezani.
 
Africa kama sio dunia imepoteza mtu wa shoka magu atabaki kuwa magu wala si mbowe wala lissu wenye uzalendo kwa watu wake na nchi yake!
Duniani halijatokea jitu lililofanya maisha yawe magumu kama huyo mzee wako,alaaniwe yeye na wewe,mtu alikuwa katili haijapata kutokea,na hali za maisha ndiyo zikawa mbaya zaidi,wajinga wakalikubali jina la wanyonge kama stahiki yao,ikimpendeza mungunmufe na nyinyi mumfuate
 
Yaani we wacha tu,tumerudi kulekule tulikotoka, rushwa imeanza kuota tena mizizi, tuseme ukweli sasa huduma zimekuwa ghali na kama huna kitu mkononi hakuna atakuita na kukuuliza shida yako,utaangaliwa tu pengine uambiwe neda kule na huku.

Na ukitaka kujua angalia kwenye mambo ya passport hapa utaweza kuona ni kwa kiasi gani tumerudi tulikotoka.

Unahitaji pasi ndani ya siku basi weka laki tano unaletewa nyumbani,huna utaambiwe ulete viapo na makaburasha ya bibi yako babu yako na hata wale usio wakumbuka na kama haitoshi lete hati ya kiapo na hapo unapigwa kalenda,migration wamecharuka, Kitu ambacho wakati wa Magu ni jambo la siku mbili tu,jaza fomu weka picha kitambulisho cha Utaifa umemaliza kazi siku ya piili unapokea pasi yako.

Mwenyezi Mungu ametupa somo ambalo inafaa turudi nyuma na kumtaka msamaha,hakuna kama magufuli na dalili sizioni ,ni lazima tuombe tena atupatie kama yey,ye. Vyombo vilivyopo sasa ni vya kusukumana ni vile vya ukimwaga mboga namwaga ugali, wanaogopana,wanalindana ,wakati wake akipata fununu tu anafuatilia kiaina siku ya pili unasikia jamaa hana kazi tena mbele za watu na kama haitoshi anakupa data zote ni jinsi gani umehusika katika kuvuruga.

yapo mambo alikuwa na kasoro ila sio yeye ni wale vitimba kwiri wanaotaka sifa na kujipitisha na alikuwa hata hao akiwapatia nafasi huwalipuwa tumeona akina makonda na wengine walikuwa wapo kwenye line zake, tuseme Nchi ilikaa sawa katika utowaji haki kwa kila raia haswa wale aliowaita wanyonge. Na wanaovuruga bado wapo na ndio hawa wanaopandikiza kesi za uongo, kubambikiza ndio wanazidi kuichafua nchi wakiamini wanalinda maslahi yao.

Naamini dua itaitikiwa na kupata mshika gongo mwengine.
Una laana kama ya mwendazake.
Vizuri ukaacha mavi yako nyumbani......(kwa msemo wa Magufuli)
 
Kuna pumbavu zimetengeneza cartels zao na kuhodhi kila aina ya biashara mfano hizi biashara tunaita mazao ya mkakati..ziko chini ya wapumbavu fulani tena wengine ni watumishi na wengine walikuwa watumishi wakaua bodi za mfano Zao la mkonge, zao la korosho, zao la kahawa nk huku kote kuna cartel ambazo zinamiliki biashara kwa lengo moja tu, kukandamiza mkulima wao wapate superprofit.... hii ipo kila mahala matokeo yake hakuna pakumulia wananchi..

Bandari ilikuwa mali ya watu, Tanesco ilikuwa mali ya watu, TRA mali ya watu, kila unapogusa kuna pumbavu na familia zao zimeweka miguu zikifaidi zenyewe na vimada wao mpaka zimevimbiwa na kuwa zinafanya mambo ya ajabu....inatia uchungu sana sana..

Hayo yooote hayawezi kuondoka kwa democrasia ya mzungu HAPANA, hayo yanahitaji mechanical reaction aka unyama na ukatili kwa miaka zaidi ya 50...ili sasa maendeleo yawe smooth kila mahala na keki igawanyike sawa kwa kila mtu hata kichaa anayeishi kwenye Taifa hili afaidi keki kwa kuhudiwa na mamlaka husika..
 
Back
Top Bottom