<br />kwa kifupi mtikila tume mchoka kwa kesi ziczo na mcngi 2ngemuona wa maana kama angekuwa mstari wa mbele kuwa shitaki walio tuleta gizani kwa mikataba mibovu ,pia angeenda mahakamani kushitaki wakina chenge kwa kesi rada kesi pamoja na jopo lake lote .Kwa babu Mtikila anataka asikike 2jue kuwa bado yupo lakini kwa kec za kipumbavu.
<br />
inaonekana hufahamu sheria mtikila anajua anachofanya ni mtu jasiri angalia kesi kama ya takrima.kuhusu akina chenge mtikila hana mamlaka ya kufungua shauri wenye mamlaka ni serikali kupitia upande wa mashtaka..kama ana ushahidi wa ufisadi sheria inamruhusu kuuwakilisha kwa mkurugenzi wa mashtaka