Mwenyekiti wa CHADEMA - London aenguliwa wadhifa

Mwenyekiti wa CHADEMA - London aenguliwa wadhifa

Mkuu kwa hiyo hii habari siyo ya kweli?

Fafanua bana kama wewe si "kenge" kwenye msafara wa "mamba". lol.
Msafara wa chadema una kenge wengi kuliko mamba, na kenge wengi ndio hujiweka mbele ya msafara kitu mabacho kimewakera mamba wengi. huu ni mwanzo tu wa tsunami la wanachama wa chadema kuhamia CCM, watu kibao wamewashtukia chadema kuwa ni chama cha meshen taun ndio maana watu wenye maisha yao wanakula kona wanawaacha day dreamers waendeleze libeneke
 
Mhn! Hao mamba kama wanakubali kenge kukaa mbele ya msafara wao basi watakuwa wa ovyo sana.

Lakini kila nikisoma hiyo taarifa ya kumvua uongozi na kusitishwa uanachama naona kama ina walakini vile.

Taarifa haisemi amefanya kosa gani hasa mpaka siyo kuachishwa uenyekiti tuu, bali pia kufukuzwa uanachama.

Taarifa inaonyesha tuu mambo ambayo kiongozi wa M4C inabidi ayafuate na kuwa amevuliwa uongozi na kusitishwa uanachama kutokana na kutokidhi mengi ya hayo mambo yaliyotajwa.

Taarifa haiko specific amefanya kosa gani hasa, lini na wapi. That in itself is a problem na inafanya mtu ajiulize maswali mengi.

Justice must not only be done, but it must also seen to be done; kwa maana ya kwamba lazima sababu zilizotumika kuzimamisha uongozi na kufukuza uanachama ziwekwe wazi.

Pia inaonyesha kuwa amesitishwa uongozi na kufukuzwa uanachama na uongozi wa Chadema UK baada ya kupata baraka toka Chadema TZ.

Lakini taarifa hasemi kama alichunguzwa, and if so, matokeo ya uchunguzi yalikuwaje, alipewa haki ya kusikilizwa, how the decision was reached, n.k.

Kumvua mtu uongozi inaweza kuonekana ni kawaida lakini kumsitisha mtu uanachama is a serious issue, which needs detailed reasons for taking such a decision.

Chadema talks about being transparent, lakini sioni transparency kwenye hii taarifa. The said taarifa raises more questions than answers.

Namwona Dr.W.Slaa anachungulia hii thread, labda anaweza kutupa ufafanuzi
 
Mhn! Hao mamba kama wanakubali kenge kukaa mbele ya msafara wao basi watakuwa wa ovyo sana.

Lakini kila nikisoma hiyo taarifa ya kumvua uongozi na kusitishwa uanachama naona kama ina walakini vile.

Taarifa haisemi amefanya kosa gani hasa mpaka siyo kuachishwa uenyekiti tuu, bali pia kufukuzwa uanachama.

Taarifa inaonyesha tuu mambo ambayo kiongozi wa M4C inabidi ayafuate na kuwa amevuliwa uongozi na kusitishwa uanachama kutokana na kutokidhi mengi ya hayo mambo yaliyotajwa.

Taarifa haiko specific amefanya kosa gani hasa, lini na wapi. That in itself is a problem na inafanya mtu ajiulize maswali mengi.

Justice must not only be done, but it must also seen to be done; kwa maana ya kwamba lazima sababu zilizotumika kuzimamisha uongozi na kufukuza uanachama ziwekwe wazi.

Pia inaonyesha kuwa amesitishwa uongozi na kufukuzwa uanachama na uongozi wa Chadema UK baada ya kupata baraka toka Chadema TZ.

Lakini taarifa hasemi kama alichunguzwa, and if so, matokeo ya uchunguzi yalikuwaje, alipewa haki ya kusikilizwa, how the decision was reached, n.k. Inasema tuu kuwa Chadema UK walipata baraka kutoka Chadema TZ.

Kumvua mtu uongozi inaweza kuonekana ni kawaida lakini kumsitisha mtu uanachama is a serious issue, which needs detailed reasons for taking such a decision.

Chadema talks about being transparent, lakini sioni transparency kwenye hii taarifa. The said taarifa raise more questions than answers.

Namwona Dr.W.Slaa anachungulia hii thread, labda anaweza kutupa ufafanuzi

Ni hivi habari ambazo zilizokuwa zimejaa kwenye 'political uchwara' avenue mjini london. Ni kwamba mtuhumiwa kachoshwa na CDM (sababu hazieleweki) na alikuwa mbioni kurudisha kadi ya chama, na pengine kuirudia kadi ya CCM.

Sasa basi kabla yeye kufanya hivyo jamaa wamemuwahi na kumfukuza naona kuliko yeye kukiwekea chama bad publicity.

Watu bwana badala ya kuangaika na maisha yao au hata kusaidia makwao wanatumia hela kwa shughuli za vyama ambavyo vi mbali na wao.

Kuna huo mkutano wa chama kingine soon wao safari hii wanasema mwenyekiti wao lazima atoke apparently tabia zake za visasi na wivu zimeshawachosha na zina haribu strategic movements (financially) and individual future plans.

Hatari lakini salama
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Mkuu chris lukosi mbona hujitokezi kujibu shutuma...usiache ikolee....toa tiba mapema
 
Mimi naona mwenye nyumba apige marufuku haya mambo ya siasa za diaspora maana kuna siku zitaleta matatizo makubwa.

Kama mtu anahitaji kujiingiza kwenye kwenye shughuli za siasa za Tanzania aende hukohuko.

Lakini mtu una shughuli zako ulizobobea una haja kweli ya kuingia siasa? maana inakuwa ni dhana ileile kwamba wafanya biashara wa Tanzania wameingia kwenye siasa na hawa wa wawili watatu wa diaspora nao wamo sasa kweli tutafika?

Ukiwa mfanya biashara ambae umejikita kisawasawa kwenye fani yako, ukaweza hata kutoa ajira iwe huko UK au Tanzania, huwezi kufikiria mambo haya ya siasa mbovu.

Mimi nakushauri mkuu Lukosi uangalie jambo hili.
 
Ushahid n mkubwa kaka, wee subir kuna mambo mazito tutayaanika hapa, sie hatuwez kukubal kiongoz wetu atukanwe bila kujbu. au subirin mwenyewe nasikia atafanya press release jumamosi

Kumbe mnajipanga kujisafisha
 
Ni hivi habari ambazo zilizokuwa zimejaa kwenye 'political uchwara' avenue mjini london. Ni kwamba mtuhumiwa kachoshwa na CDM (sababu hazieleweki) na alikuwa mbioni kurudisha kadi ya chama, na pengine kuirudia kadi ya CCM.

Sasa basi kabla yeye kufanya hivyo jamaa wamemuwahi na kumfukuza naona kuliko yeye kukiwekea chama bad publicity.

Watu bwana badala ya kuangaika na maisha yao au hata kusaidia makwao wanatumia hela kwa shughuli za vyama ambavyo vi mbali na wao.

Kuna huo mkutano wa chama kingine soon wao safari hii wanasema mwenyekiti wao lazima atoke apparently tabia zake za visasi na wivu zimeshawachosha na zina haribu strategic movements (financially) and individual future plans.

Hatari lakini salama

Kama kuna ukweli ina maana kuwa kama mtu unataka kurudisha kadi ya Chadema, halafu wakakushtukia mapema basi wanakutimua?

Unless kama Chadema wanaficha kitu, si wamwache ajiondokee zake? Hiyo bad publicity itatoka wapi kama Chadema jambo lolote baya?

Lakini kama alivyosema Richard, hizi mishe mishe za siasa za vyama ughaibuni hazifai. Mara sijui Chadema mara CCM who cares?

Surely, kuna namna nyingine ya kuwaunganisha Watanzania walioko ughaibuni zaidi ya hivi vyama vya siasa.
 
Siasa uingereza hamna hila kuna wasanii fulani wanatambua hilo lakini ndio wapo mstari wa mbele kwenye hizi siasa. Kikubwa hapo kwa wana CCM ni kuwakamata viongozi wanapoingia na kujaribu kuuza miradi yao chances ambazo otherwise kwa wao kuzipata ki wenyewe wenyewe hazipo (wamejaribu mpaka wamechoka).

Hila kuna wachache ambao wanataka uongozi na wazalendo kweli, sasa hapo ndipo kwenye fitina maana hawa inabidi wajipendekeze.

Kuhusu habari za bwana lukosi kufukuzwa au sababu zake za kutaka kujitoa sizijui hila tangia wiki sasa hilo ndio lilikuwa neno kwa wanasiasa wa UK.

Kuna taasisi iliundwa hapa ya kusaidia watanzania ambayo haikuwa na party affiliation leo mwenyekiti wa hiko chombo ni kiongozi wa CDM na mwenyekiti hapa London ni kiongozi wa CCM vilivile sasa kunashughuli hapo. Kidogo wamejitahidi kwenye msiba mmoja wa hivi karibuni lakini kwa sababu naona marehemu anakaa mita hiyo hiyo.

Inshort wewe walausiangaike na siasa za UK the whole thing is pathetic and doesnt make sense.
 
Mimi naona mwenye nyumba apige marufuku haya mambo ya siasa za diaspora maana kuna siku zitaleta matatizo makubwa.

Kama mtu anahitaji kujiingiza kwenye kwenye shughuli za siasa za Tanzania aende hukohuko.

Lakini mtu una shughuli zako ulizobobea una haja kweli ya kuingia siasa? maana inakuwa ni dhana ileile kwamba wafanya biashara wa Tanzania wameingia kwenye siasa na hawa wa wawili watatu wa diaspora nao wamo sasa kweli tutafika?

Ukiwa mfanya biashara ambae umejikita kisawasawa kwenye fani yako, ukaweza hata kutoa ajira iwe huko UK au Tanzania, huwezi kufikiria mambo haya ya siasa mbovu.

Mimi nakushauri mkuu Lukosi uangalie jambo hili.
Wafanya biashara wengi wakubwa TZ hawapendi kujihusisha na siasa lakini inabidi wajihusishe ili biashara zao zifanyike kwa amani na kwa faida kubwa kwa kutumia mwamvuli wa serikali katika mambo ya kupindisha sheria na kukwepa kodi.
Ndio maana unaona wanang'ang'ania either directly au indirectly.
Kwa mfano Kinana asingekuwa somebody kwenye ccm halafu kampuni yake ikapatikana na kashfa ya kusafirisha meno ya tembo, leo hii angekuwa rumande.
 
HIVI Kama mtu akitaka kuhama Chadema Ni dhambi? Mbona nyie wote memento ka Ccm lakini hamkufutwa uanachama? Dr slaa mwenyewe hadi Leo Ana kadi ya Ccm tena bado anailipia sembuse Lukosi ? Hebu nitajieni mtu mmoja tu hapa aliefukuzwa uanachama Ccm kwa kosa la kutaka kujiunga na Chadema ,
 
Siasa uingereza hamna hila kuna wasanii fulani wanatambua hilo lakini ndio wapo mstari wa mbele kwenye hizi siasa. Kikubwa hapo kwa wana CCM ni kuwakamata viongozi wanapoingia na kujaribu kuuza miradi yao chances ambazo otherwise kwa wao kuzipata ki wenyewe wenyewe hazipo (wamejaribu mpaka wamechoka).

Hila kuna wachache ambao wanataka uongozi na wazalendo kweli, sasa hapo ndipo kwenye fitina maana hawa inabidi wajipendekeze.

Kuhusu habari za bwana lukosi kufukuzwa au sababu zake za kutaka kujitoa sizijui hila tangia wiki sasa hilo ndio lilikuwa neno kwa wanasiasa wa UK.

Kuna taasisi iliundwa hapa ya kusaidia watanzania ambayo haikuwa na party affiliation leo mwenyekiti wa hiko chombo ni kiongozi wa CDM na mwenyekiti hapa London ni kiongozi wa CCM vilivile sasa kunashughuli hapo. Kidogo wamejitahidi kwenye msiba mmoja wa hivi karibuni lakini kwa sababu naona marehemu anakaa mita hiyo hiyo.

Inshort wewe walausiangaike na siasa za UK the whole thing is pathetic and doesnt make sense.........

Kwa nini association kama Britain-Tanzania Society (muungano wa Waingereza waliowahi kuishi Tanzania) (http://www.btsociety.org/about_britain_tanzania_society) wameweza kuungana na kushirikiana in a productive way tokea mwaka 1975 bila kuhusisha vyama vyao vya kisiasa?

Britain-Tanzania Society ina mpaka members ambao ni wabunge wa bunge la Uingereza, UK ministers na shadow ministers lakini hawaleti siasa za vyama vya kwenye huo muungano.

Wachumi huwa wanasema kuwa by nature binadamu yoyote ni selfish. Kiuchumi, binadamu hawezi ku-function vizuri mpaka awe amekuwa satisfied. Kwa hiyo, ili binadamu awe satisified ni kumwachia aendeleze u-selfishness wake mpaka mwisho ili aweze tena kuzalisha na uzalishaji huu mwanzoni utakuwa ni kwa ajili ya familia au ndugu zake wa karibu sana. This is how I see matawi ya vyama vya siasa ughaibuni. Selfishness ndiyo inayofanya haya matawi yashamiri.

Kama haya mambo yataendelea, ipo siku mtu atapatwa na tatizo au kufariki kabisa, halafu msaada utakapoombwa watu wataanza kuulizana kwanza kama alikuwa chama gani. Si alikuwa mwanachama wa CCM/Chadema? Wamsadie huko huko. Mwisho kabisa itakuwa kama ya Bongo; vyama kugombania mwili wa marehemu kuisafirisha Tanzania.

Tatizo lingine ambalo naliona ni kwamba hata mkianzisha muungano wa Watanzania wote bila kujali itikadi zao za kisiasa lazima utaingiliwa na vyama vya siasa hasa pale viongozi wao wanapokuwa impartial au kutokuwa na party affiliation.

Association ambayo inaweza kutokuwa na party affiliation ughaibuni ni ile ambayo itahusisha watu kutoka nchi mbalimbali na siyo Tanzania tuu. Ni heri kuwa na association ya watu 100 kutoka nchi mbalimbali, kuliko association ya watu 500 ambao ni Watanzania. Hapo lazima vyama vya siasa vitajipenyeza hata kwa nguvu.
 
Kwa nini association kama Britain-Tanzania Society (muungano wa Waingereza waliowahi kuishi Tanzania) (BTS) wameweza kuungana na kushirikiana in a productive way bila kuhusisha vyama vyao vya kisiasa? Britain-Tanzania Society ina mpaka members ambao ni wabunge wa bunge la Uingereza, UK ministers na shadow ministers lakini hawaleti siasa za vyama vya kwenye huo muungano.

Association ambayo inaweza kutokuwa na party affiliation ughaibuni ni ile ambayo itahusisha watu kutoka nchi mbalimbali na siyo Tanzania tuu. Ni heri kuwa na association ya watu 100 kutoka nchi mbalimbali, kuliko association ya watu 500 ambao ni Watanzania. Hapo lazima vyama vya siasa vitajipenyeza hata kwa nguvu.........

It is the other way round vyama vya siasa havikuvunja hiko chombo cha watanzania ambacho bado kipo kinaitwa Tanzania Association. Hila ni watu wanao omba kuongoza hivi vyombo ndio matatizo, kwa sababu hawana malengo ya kukiendeleza na kuki imarisha kiwe imara.

Kiongozi wa mwisho aonekani popote zaidi ya huko reading, na ukija london kuna wanafunzi wengi sana wa vyuo. Jamaa hawezi hata kusema wajameni tuunde basi hata ka network cha hawa wanafunzi wanapofika waelewe mazingira au kuwatafutia nyumba za kuishi kwa pamoja na kuwaelekeza deal za kazi. yote hayo inabidi wajifunze wenyewe the hard way maana kugumu huku sio kama watu wanavyodhani.

Tatizo kubwa naloliona ni kwamba viongozi wa sasa ni kama wazawa, na ukishakula makaratsi mjomba kila kitu ubwete ni wewe tu. Sasa hapa ndipo wanapoanza kufikiria nyumbani na namna moja ni haya mambo ya siasa maana TA aina political ties. Ndio sababu wamelo wanaotaka kujikuza kukimbilia madaraka na kuharibu nia ya taasisi. Leo ni kama haipo tena.

Nashindwa kuelewa unajua kuna watu huku wanatabia za kuamini ni watu ambao sio kabisa ki huwezo halisi, sasa hawa ndio matatizo kama unailewa na ukawa mkweli wewe huwezi kujiona maridadi kwenye nchi ambayo mcheza mpira daraja la tatu analipwa buku tatu kwa week na zipo timu 24 zenye wachezaji wakusajili 30, rudi ligi za juu ambazo zipo tatu zingine. Kuna malloya sijui ma GP yaani ni hivi tupo kwenye jamii ya 40:30:30, na hata hiyo 30 ya mwisho inamadaraja na watanzania wengi kwa sasa tupo la chini.

Sasa basi hawa watu wanatabia za kujikuza na kusifiana ujinga na ikifika kwenye ukweli usiokimbilika maisha yalivyo wengi hujikuta huwezo wa kucheza na miziki yao hawawezi, maarifa hawana ndio sababu za wengine wanaona the future lies in politics, lakini mtu mwenye akili timamu hawezi kuangaika na siasa kama hanayo malengo yake ulaya.

Ndio sababu nakwambia wewe wala usipoteze muda wako na hawa maluuza, usiku mwema.
 
mkuu, hii issue ita-affect hata biashara zako

take it serious
 
kama habari hizi ni za kweli basi chadema ipewe sifa kwani haiwezi kuvumilia mafisadi ndani ya chama!

........

Mkuu nami nasema kama ni za kweli basi ni hatari kwa kuwa kila kukicha unasikia kiongozi fulani wa CDM kanunuliwa! Hivi wananunulika kirahisi hivyo?

Hii ni hatari kwa kuwa kama wananunuliwa kirahisi hivyo basi inaonyesha kwamba hawana mapenzi na chama bali wanatafuta manufaa tu.
 
Mimi nilikuwa mmoja kati ya watu niliokuwa napiga kelele hii kitu. Ukiangalia hata hiyo safu ya 'uongozi' wa CHADEMA UK, wengi wao wameingia hata hawajui kilichoko ndani ya katiba achilia mbali Kanuni na taratibu za utendaji wa chama.

Wengi wao ni wale wanaoitwa 'mission town' ambao huwezi wakosa katika mikusanyiko ya Watanzania ambayo mingi inaratibiwa na ubalozi wa Tanzania UK.

Poor me, Kama hii habari ni ya kweli, Chris Lukosi atakuwa amewavisha mkenge jamaa kibao kwenye inner circle ya mission town ambao aliwashawishi na wengine walijiunga kama bendera fuata upepo.

Kunapofuka moshi, hapakosekani moto. Pale ubinafsi unapojengeka na kuwa ndiyo msingi katika maamuzi, hiki hakitakuwa kioja cha kwanza na mwisho. There's more to come.

Yetu macho.
 
Habari zilizopatikana hivi punde kutoka kwenye vikao vya CHADEMA kupitia Kurugenzi ya Mambo ya Nje, Mwenyekiti wa CHADEMA tawi la London Bwana. Lukosi, amesimamishwa kuendelea kuwa mwenyekiti wa CHADEMA London kutokana na maswala ya kinidhamu.

Inasemekana Bw. Lukosi alienda nchini Tanzania mwezi Septemba mwaka huu na kukutana na wakuu wa Serikali ambapo aliahidiwa kupewa tenda kubwa ya kuclear mizigo ya Serikali. Kutokana na ahadi hiyo Bw. Lukosi alirudi jijini London na kuanza kuivuruga CHADEMA hali ambayo imesababisha kusimamwishwa kwake kuwa mwenyekiti wa CHADEMA -LONDON.

Stay tuned for more details...

Kama hii ni kweli intelijensia ya CDM iko very strong na inastahili pongezi. Aidha, kuchukua hatua mara moja zinapobainika taarifa za ufisadi na usaliti wa makada wake ni sehemu ya kujenga trust na accountability. Kwa CCM hili limeshindikana. Pengine CDM can come up with a real accountable working system.
 
Kama habari hizi ni za kweli, ninaipa pongezi Chadema.

Mkakati mkubwa sana wa CCM kwa sasa ni Kupandikiza mamluki ili kukivuruga Chama, kununua baadhi ya viongozi wa Chadema na pia kutoa propaganda chafu dhidi ya Chadema.
 
- Hopeless kabisa, let me understand this CCM ili kutawala Tanzania inahitaji kuwa na pandikizi kwenye tawi la Chadema London? So Slaa mwenye kadi ya CCM na anailipia kila mwezi sio tatizo ila MWenyekiti wa Tawi la wanachama watano UK?

I mean labda I am missing something here!!

es!
 
Kwa nini association kama Britain-Tanzania Society (muungano wa Waingereza waliowahi kuishi Tanzania) (BTS) wameweza kuungana na kushirikiana in a productive way tokea mwaka 1975 bila kuhusisha vyama vyao vya kisiasa?

Britain-Tanzania Society ina mpaka members ambao ni wabunge wa bunge la Uingereza, UK ministers na shadow ministers lakini hawaleti siasa za vyama vya kwenye huo muungano.

Wachumi huwa wanasema kuwa by nature binadamu yoyote ni selfish. Kiuchumi, binadamu hawezi ku-function vizuri mpaka awe amekuwa satisfied. Kwa hiyo, ili binadamu awe satisified ni kumwachia aendeleze u-selfishness wake mpaka mwisho ili aweze tena kuzalisha na uzalishaji huu mwanzoni utakuwa ni kwa ajili ya familia au ndugu zake wa karibu sana. This is how I see matawi ya vyama vya siasa ughaibuni. Selfishness ndiyo inayofanya haya matawi yashamiri.

Kama haya mambo yataendelea, ipo siku mtu atapatwa na tatizo au kufariki kabisa, halafu msaada utakapoombwa watu wataanza kuulizana kwanza kama alikuwa chama gani. Si alikuwa mwanachama wa CCM/Chadema? Wamsadie huko huko. Mwisho kabisa itakuwa kama ya Bongo; vyama kugombania mwili wa marehemu kuisafirisha Tanzania.

Tatizo lingine ambalo naliona ni kwamba hata mkianzisha muungano wa Watanzania wote bila kujali itikadi zao za kisiasa lazima utaingiliwa na vyama vya siasa hasa pale viongozi wao wanapokuwa impartial au kutokuwa na party affiliation.

Association ambayo inaweza kutokuwa na party affiliation ughaibuni ni ile ambayo itahusisha watu kutoka nchi mbalimbali na siyo Tanzania tuu. Ni heri kuwa na association ya watu 100 kutoka nchi mbalimbali, kuliko association ya watu 500 ambao ni Watanzania. Hapo lazima vyama vya siasa vitajipenyeza hata kwa nguvu.

Mkuu EMT,
Watanzania huwezi watenganisha na siasa. Sikumbuki vizuri kuna jamaa kwenye ile post kuhusu magazeti ya Shigongo alikuambia kuwa politics ia a denominator. Haya ndiyo mawazo ya Watanzania walio wengi.
Wenzetu huku, kila jambo lina mahali pake. mikusanyiko ambayo siyo ya siasa, huwezi ukakuta ghumzo kuu ni siasa bali ni kile kilichowaleta kwenye huo mkusanyiko.

Nimehudhuria mikusanyiko mingi ya Watanzania UK ukiwemo huu wa Tanzania association, maongezi huwa ni porojo za siasa, mwanzo mpaka mwisho. Halafu wengi wao siasa ni personal issue na wanakuwa wako tayari hata kukutenga kwenye vijiwe kwa vile unatofautiana kiitikadi. It's pathetic to the core

Baada ya tawi la CHADEMA UK kuanzishwa na baadhi ya hao 'mission town', it was so bad kiasi kwamba kambi hizi kambi mbili (CCM & CHADEMA) zikaacha hata kualikana na kusaidiana katika mambo ya kifamilia ( harusi, vifo, birthday party n.k ) na nation functions (uhuru, muungano).

Nilighafirika na nikaacha kuhudhuria hii mikusanyiko uchwara na yenye watu wengi wa 'mission town' ili kupiga majungu.

Bora kuhudhuria mikusanyiko ya wazawa wazungu kuliko hii ya wazawa Watanzania mpaka hapo tutakapobadilika kimawazo na vitendo
 
Hivi kuwa mpinzani na kupata tenda ya serikali ni kosa ?

Hakuna kosa lolote mpinzani kupata tenda serikalini. Ila tenda hiyo inapopatikana kwa condition ya kuhujumu upinzani basi ina kuwa ni kosa kubwa sana.

Lukos kapwea tenda serikalini na mojawapo ya condition aliyopewa ni kuhakikisha tawi la UK linakufa kwa kuwa serikali ya bongo inadhani LUKOS ndio muhimil wa CHADEMA UK kumbe wamebug step.
 
Back
Top Bottom