Nguzo kuu ya Chadema ni umoja halisi kutoka moyoni .Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe Freeman A. Mbowe, leo J/tano 24/01/2018 amefika Mahakama ya Mkoa wa Mbeya kwa ajili ya kusikiliza kesi inayomkabili Mbunge wa Mbeya mjini, Mhe. Joseph Mbilinyi na Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Emmanuel Masonga.
View attachment 683498
Shetani hajawahi kumshinda Mungu .Hadi miezi 4 ifike ndio Gusu atatoka nje
siku chakubanga akiwaonyesha umma wale vigogo 18 waliotakiwa kujiunga CCMee kutoka CHADEMA tar 9 Jan.Hadi miezi 4 ifike ndio Gusu atatoka nje
Mungu anaruhusu watumishi wake wapitie mateso kwa kusudi maalumShetani hajawahi kumshinda Mungu .
Hahahaa...... Sugu ndiye mtumishi!!!!Mungu anaruhusu watumishi wake wapitie mateso kwa kusudi maalum
Ccm wametoa maelekezo afungwe kifungo kirefuMwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe Freeman A. Mbowe, leo J/tano 24/01/2018 amefika Mahakama ya Mkoa wa Mbeya kwa ajili ya kusikiliza kesi inayomkabili Mbunge wa Mbeya mjini, Mhe. Joseph Mbilinyi na Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Emmanuel Masonga.
View attachment 683498
CHADEMA NI MPANGO WA MUNGUKapata sababu ya kula ruzuku kwa safari.Kaenda kutalii Mbeya kwa kisingizio cha kesi ya Sugu wakati yeye si wakili anaenda kukodoa tu macho mahakamani halafu huyo anaenda kulewa na kujirusha na vimwana
Hadi miezi 4 ifike ndio Gusu atatoka nje
kamanda mkuuMwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe Freeman A. Mbowe, leo J/tano 24/01/2018 amefika Mahakama ya Mkoa wa Mbeya kwa ajili ya kusikiliza kesi inayomkabili Mbunge wa Mbeya mjini, Mhe. Joseph Mbilinyi na Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Emmanuel Masonga.
View attachment 683498
Kama hujui hilo unastahili kutumwa India ila gharama juu yako kodi zetu zifanye kazi nyingineHahahaa...... Sugu ndiye mtumishi!!!!
cc yule muuza pembe za ndovuKama hujui hilo unastahili kutumwa India ila gharama juu yako kodi zetu zifanye kazi nyingine