Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe afika Mbeya kusikiliza kesi inayomkabili Sugu na Emmanuel Masonga

Naichukia ccm.
Nawachukia pia wanao iunga ccm.
Umaskini wote huu ni ccm.
Watu kuto jitambua ni ccm.
Ccm wame wainamisha vichwa watu kaa mateka.
Chini ya ccm umasikini hauto isha.
Yaani ccm nawachukia nasitokaa nitoe Masada wa aina yoyote ile kwa jitu la ccm,hasa hawa wasomi waliopo ccm maana wao wanaijua kweli ila kwa njaa zao huunga mkono upuuzi ambao hufanyanya kina kajambanani waendelee kuwa ma ndondocha.shithole in did.
Umeandika ukweli mtupu! Kungekuwa na double likes ningekugongea.
 
Yadi unachukia uzima wako ccm ni uzima wako. Leta hoja siyo chuki kila mtu ana haki yake kuamini chama anachokipenda
Sawa kaka nime kuelewa ila hakika na kwambia,napenda ukweli kuliko unafiki.

Ata timu yangu ikibolonga nasema ukweli.
Ishu ya maendeleo katika taifa is not easy as u think.vinginevyo haupo sawa kaka au hauna ujuzi wa mambo.
 
ukuta ndo ilikuwa mwarobaini wa huu upuuzi,na kinachotokea ni sugu kufungwa au kuhenyeshwa rumande kama lema,kitu ambacho hamjui ni hiki ccm inatest sehemu ambazo ni ngome ya upinzani wakiona Hamna reaction yeyote basi wana uhakika wa kufanya chochote ndo maana walianzia arusha kwa lema,baada ya kuona au kumaliza nguvu ya cdm arusha ,wamekuja mbeya mjini na wameshaona hamna chochote cha kuwazuia ,hata uchaguz ujao wana uhakika wa kuchakachua matokeo na hakuna mtu wa kuandamana,ni kama walivyofanya arusha ,baada ya sugu atafuatia msigwa then heche ,nyie subirini mtaona
Thibitisha iloo
 
Si kashiba ruzuku atakuwaje na njaa unauliza kama Dodoma kuna wagogo?
we kweli harufu za vyoo vya Lumumba zimekuathiri maana ww n mpiga deki wa afisi kuu za Lumumba
mbowe ana hela hata kabla chadema haijawa na ruzuku
mbowe n mfanyabiashara hategemei siasa kujiendsha ndio maana 2015 alitoa kiinua mgongo chote kwa halmashauri yake kwa ajili ya kununua gari LA taka
ndio maana aliyagaragaza vibaya ma ccm ingawa alipiga kampen cku 3 tu akashinda jimbo na kata zote 22
 
ukuta ndo ilikuwa mwarobaini wa huu upuuzi,na kinachotokea ni sugu kufungwa au kuhenyeshwa rumande kama lema,kitu ambacho hamjui ni hiki ccm inatest sehemu ambazo ni ngome ya upinzani wakiona Hamna reaction yeyote basi wana uhakika wa kufanya chochote ndo maana walianzia arusha kwa lema,baada ya kuona au kumaliza nguvu ya cdm arusha ,wamekuja mbeya mjini na wameshaona hamna chochote cha kuwazuia ,hata uchaguz ujao wana uhakika wa kuchakachua matokeo na hakuna mtu wa kuandamana,ni kama walivyofanya arusha ,baada ya sugu atafuatia msigwa then heche ,nyie subirini mtaona

Hapa kuna ukweli 95%
 
Badala mtume mawakili wakasaidiane na walioko mbeya mnatuma wanasiasa, sasa mbowe si angebaki tu huko dar kama anahitaji kusikia kuhusu hy kesi redio na tv zipo kibao.
 
Back
Top Bottom