Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe afika Mbeya kusikiliza kesi inayomkabili Sugu na Emmanuel Masonga

Nguzo kuu ya Chadema ni umoja halisi kutoka moyoni .
Sio issue ya Umoja , mwenzio hapo kishakula perdiem ya Ziara ya kikazi sio wale kina Henry Kilewo wanamaliza soli za viatu hata Kodi ya nyumba wanalipiwa na Mwanamke mpaka anadhalilishwa
 
Sio issue ya Umoja , mwenzio hapo kishakula perdiem ya Ziara ya kikazi sio wale kina Henry Kilewo wanamaliza soli za viatu hata Kodi ya nyumba wanalipiwa na Mwanamke mpaka anadhalilishwa
heheheya ndo kila mtu ale urefu wa kamba yake wakati wewe uko
11988773_1494482810853927_9077632859657319797_n.jpg
hivi hapo lumumba ,wenzio baba jesca anakula kiyoyozi magogonii jiongeze we
 
Naichukia ccm.
Nawachukia pia wanao iunga ccm.
Umaskini wote huu ni ccm.
Watu kuto jitambua ni ccm.
Ccm wame wainamisha vichwa watu kaa mateka.
Chini ya ccm umasikini hauto isha.
Yaani ccm nawachukia nasitokaa nitoe Masada wa aina yoyote ile kwa jitu la ccm,hasa hawa wasomi waliopo ccm maana wao wanaijua kweli ila kwa njaa zao huunga mkono upuuzi ambao hufanyanya kina kajambanani waendelee kuwa ma ndondocha.shithole in did.
Hakika
 
Kapata sababu ya kula ruzuku kwa safari.Kaenda kutalii Mbeya kwa kisingizio cha kesi ya Sugu wakati yeye si wakili anaenda kukodoa tu macho mahakamani halafu huyo anaenda kulewa na kujirusha na vimwana
Sio kila mtu lazima awe wakili! Mbowe kaenda kutia moyo na hamasa kwa mawakili na washtakiwa na kuwafariji ndugu wa washtakiwa. Hali hii itawapooza machungu na kupata hamasa na kuongeza kasi ya kupambana. Hata kama katumia ruzuku si ni kazi ya hiyo ruzuku? Au ulitaka atumie fungu lipi? Wakati mwingine unajipodoa mno ubongoni hadi unapoteza muonekano wa akili yako! Hoji mambo ya msingi acja kukaa nyuma ya watu!
 
Kapata sababu ya kula ruzuku kwa safari.Kaenda kutalii Mbeya kwa kisingizio cha kesi ya Sugu wakati yeye si wakili anaenda kukodoa tu macho mahakamani halafu huyo anaenda kulewa na kujirusha na vimwana
Binadamu hakosi la kusema asingeenda ungesema kamtupa. Kwani kauli ya kutoka Dar hadi Mbeya ni hela nyingi sana?
 
Back
Top Bottom