Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe afika Mbeya kusikiliza kesi inayomkabili Sugu na Emmanuel Masonga

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe Freeman A. Mbowe, leo J/tano 24/01/2018 amefika Mahakama ya Mkoa wa Mbeya kwa ajili ya kusikiliza kesi inayomkabili Mbunge wa Mbeya mjini, Mhe. Joseph Mbilinyi na Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Emmanuel Masonga.
DUSudcVWkAAKP2p.jpg
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe Freeman A. Mbowe, leo J/tano 24/01/2018 amefika Mahakama ya Mkoa wa Mbeya kwa ajili ya kusikiliza kesi inayomkabili Mbunge wa Mbeya mjini, Mhe. Joseph Mbilinyi na Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Emmanuel Masonga.
View attachment 683498
Nguzo kuu ya Chadema ni umoja halisi kutoka moyoni .
 
ukuta ndo ilikuwa mwarobaini wa huu upuuzi,na kinachotokea ni sugu kufungwa au kuhenyeshwa rumande kama lema,kitu ambacho hamjui ni hiki ccm inatest sehemu ambazo ni ngome ya upinzani wakiona Hamna reaction yeyote basi wana uhakika wa kufanya chochote ndo maana walianzia arusha kwa lema,baada ya kuona au kumaliza nguvu ya cdm arusha ,wamekuja mbeya mjini na wameshaona hamna chochote cha kuwazuia ,hata uchaguz ujao wana uhakika wa kuchakachua matokeo na hakuna mtu wa kuandamana,ni kama walivyofanya arusha ,baada ya sugu atafuatia msigwa then heche ,nyie subirini mtaona
 
Naichukia ccm.
Nawachukia pia wanaoiunga ccm.
Umaskini wote huu ni ccm.
Watu kutojitambua ni ccm.
Ccm wame wainamisha vichwa watu kaa mateka.
Chini ya ccm umasikini hautoisha.
Yaani ccm nawachukia nasitokaa nitoe Masada wa aina yoyote ile kwa jitu la ccm,hasa hawa wasomi waliopo ccm maana wao wanaijua kweli ila kwa njaa zao huunga mkono upuuzi ambao hufanyanya kina kajambanani waendelee kuwa ma ndondocha
 
Hizo posho si bora wangempa hata Bw. Alcohol akalipe kodi asitirike!
 
Sugu atatoka baada ya pasaka, badala ya kwenda Mbeya angeenda kuzika mwenyekiti wake wilaya ya Karatu . Mnashangaza sana nyinyi watu
 
Yadi unachukia uzima wako ccm ni uzima wako. Leta hoja siyo chuki kila mtu ana haki yake kuamini chama anachokipenda
 
Kama hujui hilo unastahili kutumwa India ila gharama juu yako kodi zetu zifanye kazi nyingine
cc yule muuza pembe za ndovu

hivi na wale tunaosikia kuwa wanaenda kupumzika hasa S.A baada ya kununuliwa kwenda kuunga mikono na miguu huwa ni gharama za wanunuzi ama kodi zetu huku mchambawima?
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom