Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,263
- 16,288
anaakili kuliko wewe anaweza kulisha hadi babu yako kijijini kama bado anasavavu...............Sugu huyu huyu anayepuliza jani la Njombe!
jani hili kama vipi nakushauri na wewe upulize
anaakili kuliko wewe anaweza kulisha hadi babu yako kijijini kama bado anasavavu...............Sugu huyu huyu anayepuliza jani la Njombe!
Sio issue ya Umoja , mwenzio hapo kishakula perdiem ya Ziara ya kikazi sio wale kina Henry Kilewo wanamaliza soli za viatu hata Kodi ya nyumba wanalipiwa na Mwanamke mpaka anadhalilishwaNguzo kuu ya Chadema ni umoja halisi kutoka moyoni .
heheheya ndo kila mtu ale urefu wa kamba yake wakati wewe ukoSio issue ya Umoja , mwenzio hapo kishakula perdiem ya Ziara ya kikazi sio wale kina Henry Kilewo wanamaliza soli za viatu hata Kodi ya nyumba wanalipiwa na Mwanamke mpaka anadhalilishwa
Hadi miezi 4 ifike ndio Gusu atatoka nje
Hahahahaheheheya ndo kila mtu ale urefu wa kamba yake wakati wewe ukoView attachment 683526hivi hapo lumumba ,wenzio baba jesca anakula kiyoyozi magogonii jiongeze we
Hahahaha
Naona umeamua kumdhalilisha Kamanda Kilewo!
Jaribu kufikiria nje ya boksi Mkuu......Na bila shaka mshahara wake na posho kwa hiyo miezi 4 utakuwa unachukua wewe, sawa?
Tanzania yenyewe aijawai kuwa uzima wangu.itakuwa ccm?.hivi huu UZEZETA UTAWATOKA LINI?Yadi unachukia uzima wako ccm ni uzima wako nyoko wewe bangi zako zinakuletea masitim eti? Leta hoja siyo chuki kila mtu ana haki yake kuamini chama anachokipenda
HakikaNaichukia ccm.
Nawachukia pia wanao iunga ccm.
Umaskini wote huu ni ccm.
Watu kuto jitambua ni ccm.
Ccm wame wainamisha vichwa watu kaa mateka.
Chini ya ccm umasikini hauto isha.
Yaani ccm nawachukia nasitokaa nitoe Masada wa aina yoyote ile kwa jitu la ccm,hasa hawa wasomi waliopo ccm maana wao wanaijua kweli ila kwa njaa zao huunga mkono upuuzi ambao hufanyanya kina kajambanani waendelee kuwa ma ndondocha.shithole in did.
Wana jf wengi tu mahohehahe mnajitia tu kwavile hatuwezi kuja makwenu
Labda anachet cha uwanasharia ameamua kuongeezea nguvu.Mmesha ambiwa msiingilie Uhuru wa Mahakama huko Mbeya umeenda kufanya nini
Umenena haswaa Mkuu..Nguzo kuu ya Chadema ni umoja halisi kutoka moyoni .
Sio kila mtu lazima awe wakili! Mbowe kaenda kutia moyo na hamasa kwa mawakili na washtakiwa na kuwafariji ndugu wa washtakiwa. Hali hii itawapooza machungu na kupata hamasa na kuongeza kasi ya kupambana. Hata kama katumia ruzuku si ni kazi ya hiyo ruzuku? Au ulitaka atumie fungu lipi? Wakati mwingine unajipodoa mno ubongoni hadi unapoteza muonekano wa akili yako! Hoji mambo ya msingi acja kukaa nyuma ya watu!Kapata sababu ya kula ruzuku kwa safari.Kaenda kutalii Mbeya kwa kisingizio cha kesi ya Sugu wakati yeye si wakili anaenda kukodoa tu macho mahakamani halafu huyo anaenda kulewa na kujirusha na vimwana
Sugu huyu huyu aliyebebwa juu juu bungeni?!anaakili kuliko wewe anaweza kulisha hadi babu yako kijijini kama bado anasavavu...............
jani hili kama vipi nakushauri na wewe upulize
Binadamu hakosi la kusema asingeenda ungesema kamtupa. Kwani kauli ya kutoka Dar hadi Mbeya ni hela nyingi sana?Kapata sababu ya kula ruzuku kwa safari.Kaenda kutalii Mbeya kwa kisingizio cha kesi ya Sugu wakati yeye si wakili anaenda kukodoa tu macho mahakamani halafu huyo anaenda kulewa na kujirusha na vimwana
Akipenda msibani anafanya siasa kwenye msibaSUGU ATATOKA BAADA YA PASAKA, BADALA YA KWENDA MBEYA ANGEENDA KUZIKA MWENYEKITI WAKE WILAYA YA KARATU . MNASHANGAZA SANA NYINYI WATU