"Natoa onyo kwa kiongozi yeyote atakaye temper na matokeo tutamshugulikia na jana mkuu wa wilaya ametolewa kwa ustaarabu sana lakini akirudia tena atafika polisi ameshugulikiwa" haya ni baadhi ya maneno yake Duh! Lakini kwanini safari hii Chadema wamejiamini sana?
<br />Ni vizuri busara kutumika zaidi badala ya vurugu.Kiongozi bora hutawaliwa na maamuzi bora.Tukiwalea hawa vijana kwa kusupport uvunjifu wa amani,iko siku watakuwa kikwazo pia kwa CDM.Heche aandae mazingira ya Ushindi kuliko kuandaa vurugu,kumbuka kuna CUF pia hapo sio CCM pekee hivyo hizo kura elfu 44 zitagawika kweli kweli na hakuna ushindi wa kishindo hapo.
Mtu anakubakia mkeo halafu linatokea jamaa kama wewe linasema usimpige mbakaji tumia busara kama mimi nawachanganya wote wewe uliyeniambia nitumie busara na mbakaji mnapata kisago.Ni vizuri busara kutumika zaidi badala ya vurugu.Kiongozi bora hutawaliwa na maamuzi bora.Tukiwalea hawa vijana kwa kusupport uvunjifu wa amani,iko siku watakuwa kikwazo pia kwa CDM.Heche aandae mazingira ya Ushindi kuliko kuandaa vurugu,kumbuka kuna CUF pia hapo sio CCM pekee hivyo hizo kura elfu 44 zitagawika kweli kweli na hakuna ushindi wa kishindo hapo.
Akiongea na waandishi wa habari jana Heche ametoa tahadhari kwa polisi na wakuu wa mkoa na mkuu wa wilaya ya Igunga kuwa wasiwe chanzo cha kusababisha fujo nchini waviache vyama vya siasa vishindane kwa haki lakini wakiingilia kugeuza matokeo safari hii vijana wa Chadema hawatakubali. Ameongeza kama polisi hawatenda haki na kuendelea kutotoa ushirikiano watawashughulikia waharifu wakiwemo viongozi kama walivyomshughulikia mkuu wa wilaya jana.
Msikilize mwenyewe hapa anaonekana kama Julius Malema wa Tanzania
http://www.youtube.com/v/OpUr0i0N3gU?version=3"><param
huyu mwenyekiti anatakiwa awe makini na maneno yake,kwanza kitendo walichomfanyia mkuu wa wilaya ni udhalilishaji,pili hawana adabu vijana walioenda kumtoa maana nilikuwepo eneo la tukio na hawakumtendea haki kumsikiliza kwani alikuwa akijitetea .tatu mtuwekee ushahidi halisi kuwa alikuwa anapanga kuwaingilia uchaguzi wenu?