Mwenyeezi mungu wasaidie masikini ameen

Mwenyeezi mungu wasaidie masikini ameen

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957
1239657_676857315689735_719933695_n.jpg
 
Amin amin... Mjomba ni nchi gani hii?
Napendekeza jf tuwe na mfuko wa fedha kwa ajili ya misaada
 
MziziMkavu​, nashindwa kuweka like kwa maneno yako nikihofia kuwa nafurahia hiyo picha. Inasikitisha Wallahi!
 
Huu ni ukumbusho kwa wote tuwe na imani na kusaidia wasiojiweza kwani kila mahali wapo hata leo umewaona usiwafumbie macho
 
Mwenye nacho unasema, sitaki hiki sitaki kile, wengine wanakitaka chochote wapitishe mdomoni

Tuombe tusifikie hali kama hiyo, ni hatari sana
 
Back
Top Bottom