Mwenye Uzoefu na Matebooks (Laptops za Huawei)

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
10,700
Reaction score
15,531
Wakuu hapa BongoLand naona hazijafika ila ninaziona Mtandaoni kama Ebay, Na kwingineko vipi Ubora wake?

Japo nimeona hizi Laptop ni very Expensive sana nilivyocheki Mitandaoni sidhani kama kuna ya chini ya USD 800 vipi waliowahi kuzitumia

Perfomance yake
Batery enduarence

Karibuni.
 
Hizo laptop zipo kwenye category ya ultrabook,

Perfomance yake inakuwa ni ya kawaida inatosha kwa vitu kama kubrowse, kuangalia video, gaming kidogo na hata video editing za kawaida. Zimetengenezwa kwa watu wanaojali muonekano na status zaidi (fikiria mfano wa iphone).

Sema hizi zinawekwa vitu kama ssd, ram zenye speed, cpu zisizopata joto etc hivyo kufanya matumizi ya kila siku kufanyika kwa haraka zaidi kuliko laptop ya kawaida yenye processor yenye nguvu.

Battery pia zinakaa na chaji sababu zinatumia processor zinazokula umeme mdogo, test nyingi nilizoangalia inakaa na chaji masaa 9. Ila wenzetu wanapima ukaaji chaji ikiwa connected na wifi ambayo haili.chaji sana, sisi tunaotumia modem tegemea kama masaa 4 ama 5. Vitu kama kuangalia video na kusoma itazidi hayo masaa 9.

Na hio dola 800 ni bei rahisi kwa ultrabook, nyingi ambazo ni nzuri ni dola 1000 kupanda.
 
Thanks mkuu kwa ufafanuzi
 
Asante kwa ufafanuzi
Vipi kuhusu hizi laptop zenye memory ssd 32 au 64gb matumizi yake ni nini hasa maana 32gb naona kama ndogo sana
 
Mkuu nyingi zenye internal 32GB ama 64GB zinakuwa na EMMC memory zinazotumika kwenye simu. Zinakuwa ni laptop zilizotengenezwa kufanya mambo mepesi sana huku zikikaa na chaji muda mrefu. Mfano unanunua laptop kwa ajili ya Tally tu, ama laptop ya Quickbook tu, ama laptop ya kusomea tu na matumizi mengine kama haya. Niliwagi nunua Acer moja ya mwanafunzi kusomea inakaa na chaji hadi masaa 17.

Ila zipo chache zenye ssd ya 32GB ama 64GB, nyengine zinakuwa na optane ambayo ina speed kushinda ssd. Sababu storage hizi zina speed sana bei yake pia inakuwa ghali kidogo ndio maana hawakuwekei kubwa kama vila HDD, hivyo vitu muhimu tu ndio vinafanyika kwenye hio ssd. Kama vile.
-kuweka operating system peke yake na mafile mengine yanakaa kwenye HDD. Pale unapopiga windows unaiweka kwenye hio 32gb/64gb lakini vitu kama movies ama programs zisizo muhimu kama games zinakaa kwenye hdd. Hii inasaidia windows kufanya kazi kwa haraka na kuwaka upesi. Windows inawaka hata kwa sekunde 6 tu.
-kutumika kama cache, kwenye cache yale mafile unayotumia mara kwa mara yanakaa humo ili ukiyahitaji yapatikane kwa wepesi zaidi, sababu hivi vitu unavyotumia mara kwa mara vimewekwa kwenye storage yenye speed zaidi inamaana hata matumizi yako ya kila siku yatafanyika kwa haraka zaidi.

Ila kuwa makini mkuu asilimia 99 ya laptop za kibongo bongo zenye 32gb wanafanya fake advertising kwa kudanganya watu ni ssd wakati ni EMMC. Hii EMMC hata kwenye Tecno za bei rahisi ipo ni storage ya kawaida sana.
 
Back
Top Bottom