Tazamamtuhuyu
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 277
- 90
Kwani Majini yanapatikana bure tu?Unawezawapi kwenda kuyapataMajini bure tu?kuna kazi yoyote isiyokuwa namalipo Mkuu Elimringi moshi[/QUO
Yesu akuokoe ndugu.
Kwani Majini yanapatikana bure tu?Unawezawapi kwenda kuyapataMajini bure tu?kuna kazi yoyote isiyokuwa namalipo Mkuu Elimringi moshi[/QUO
Yesu akuokoe ndugu.
Sio sahihi ila uchaguzi wako wwe mwenyewe unavyotak ziko dawa za kuvuta biashara ili upate wateja lakini kutumia Majini ndio wakutajarishe sio ushauri mzuri kwa sababu mwisho wake watakupoteza maisha yako Majini hawana mwisho mwema falcon mombasa Utakuja siku umevunja nao Ahadi nao basi ndipo watakapo pata sababu ya wewe kukutoa roho yako.MziziMkavu je ni sahihi kutumia vitu vyenye udhamini wa kishetani ? kwa mfano unakwenda hospitali iliyojengwa na freemason au unapita kwenye barabara iliyojengwa na freemason
Yesu hayupo duniani ataniokowa kivipi?Kwani Majini yanapatikana bure tu?Unawezawapi kwenda kuyapataMajini bure tu?kuna kazi yoyote isiyokuwa namalipo Mkuu Elimringi moshi[/QUO
Yesu akuokoe ndugu.
....shetani ameshapokea ombi lako atatuma msaidizi wake akuandikishe rasmi kwenye ufalme wake. Aliwahi kumwambia Yesu ukinisujudia ntakupa Mali zoooote hizi, Yesu akasema ineandikwa msujudie Mungu baba peke yàke.....
We ndorobooooo kweli umeshindwa hata kwenda kubet!
Nakushauri usiingie kwenye kifungo ambacho hutoweza toka
Mkuu mshana naomba ufafanuzi wa hayo uliyosema kuwa hasijitie kwenye kifungo ambacho hawezi kutoka,kuna kifungo gani mkuu,pls
Unazo pesa upatiwe Hilo Jini la kukufanya upate pesa? Ukiweza nitafute kwa baruapepe fewgoodman@hotmail.com au whatsapp +90 534 450 8169
Kwanza pesa za majini hazipatikani kwa urahisi kama zile pesa nyingine za kutoa makafara mara nyingi majini huteua watu wao wenyewe na kuwatunuku utajiri lakini kwa masharti mengi magumu
Sasa wewe utakapoomba na kukubaliwa hutakiwa kusaini mkataba wa masharti mpaka kifo na Maranyingi masharti yenyewe ni kuwa na mke mmoja tu watakayekuletea/kukutafutia hutakiwi kula vyakula vya aina fulani au kuvaa nguo za rangi fulani au kufanya starehe zozote hasa pombe wanawake na sigara. ..
Kiongozi unahisi kubeti ni kazi rahisi sana nakuomba usijidanganye hakuna kitu kigumu kama kula milion nane kwa elfu moja au elfu tano nitafute nikupe kisa kilichonitokea khs hiyo beting ni hatari
Ikitokea kabla ya kujiunga nao ulisha oa mke,inakuwaje?pls
....shetani ameshapokea ombi lako atatuma msaidizi wake akuandikishe rasmi kwenye ufalme wake. Aliwahi kumwambia Yesu ukinisujudia ntakupa Mali zoooote hizi, Yesu akasema ineandikwa msujudie Mungu baba peke yàke.....
Kisa gani mkuu?
Uliingia kwa Mhindi bila hodi au? lol lol, betting si nzuri kama usipojua kubeti responsibly. Bet ni mchezo mzuri kama utabeti for fun.
Watu wanaenda kwenye ma bar wanakunywa bili za zaidi ya laki, wanahonga, wanaibiwa kutokana na ulevi lakini majuto ni kidogo sana.
Lakini, endapo ukawa unaujua mchezo wa kubeti vizuri na ukaweza kuchambua timu za ko za maana angalau less than 3 odds ukaweka pesa responsibly, unaweza kutoka.
Achana na buku kwa milioini, nenda kwa laki kwa laki na 90.
over.
Nitafute mkuu tusaidiane hapa.
Mimi beting siwezi kabisa. Bora kitu ambacho nafanya mimi ndo nikiewekee hela. Tukubaliane tuweke karata hapa tucheze mshindi anachukua amount fulani, otherwise simuamin mtu. Hata icheze man U na yanga sibeti
merengo90.
Angalia kuna gemu za wazi kabisa, kwa mfano Misri Vs Tanzania, hapo unashindwa kujua nani anashinda kweli jamani?
FC Barcelona Vs Athletic Bilbao?
Madrid Vs Levante?
Karibu sana mchezoni
www.meridianbet.co.tz