Goodmsoka
Senior Member
- Apr 1, 2015
- 161
- 53
Unahitaji Majini mema ili yakufanyie kitu gani?Samahi mzizi mkavu.
Wengine tumesikia mahali kuwa kuna Majini mema na Majini mabaya.
Kama walivyo wanadamu
Hebu tuambie vipi mtu akitaka msaada toka kwa majini mema ?
Je nayo yatamungiza kwenye masharti ya kichawi ?
Tujuze mtaalamu.
Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
TAPELI mkubwa sana uyooKuna huyu MziziMkavu, ni mganga wa kienyeji aliekimbilia huko ughaibuni anaweza kukusaidia kama umeona hicho kichwa, miguu, mikono na nguvu alizokubariki Mungu havitoshi kukufanya ukamiliki pesa!!
Yanipe pesa safi, isiyo na masharti ya ulozi kama kutoa kafala, kuua mtu, kutumia viungo vya binadamu nk.Unahitaji Majini mema ili yakufanyie kitu gani?
Nakushauri usiingie kwenye kifungo ambacho hutoweza toka
Ujumbe fikirishi MziziMkavuMziziMkavu kama kweli hilo jini unalotaka kumpa litampatia pesa huyu ndugu yetu, kwanini tena utake pesa kutoka kwake wakati jini ni lako? si ungekua nazo za kutosha kutoka kwa huyo jini? au hii imekaaje?
AamenDamu ya yesu inatoa vifungo vyote
hata kwa yesu hakuna vitu vya bure,sema neema inakuwa kubwa,wewe ukitoa moja,unapewa kumi,....mkuu Yesu tu ndo amesema mmepewa bure toeni bure baraka zake, shetani hata siku moja hawezi kutoa bure, lazima alipe kafara in one way or another. na mbele ya safari masharti yatazidi kuwa magumu kwake mpaka ya kuua ndugu wa damu....
anataka kujiingiza kitanzi cha kamba ya chuma shingoni...Nakushauri usiingie kwenye kifungo ambacho hutoweza toka
Atakuwa alipigwa hela na akina hao mzizimkavu wakamuacha solemba hakuna pesa rahisi kiasi hichoTupo mrejesho mkuu.. Ulifanikiwa?
Wewe muoga kweliKuna jamaa yang kutwa na kavaa lipete maarufu jicho la nyoka, kavaa kidoleni,yaani hadi leo hajaowa miaka karibia 40, kwa masharti ya hiyo makitu. Tafuta kihalali inapendeza hizo za masharti siyo kabisa
Acheni vitisho...mbona tupo nae raha sana tuNakushauri usiingie kwenye kifungo ambacho hutoweza toka
Kutokana na uzembe wa kufkir na kujishughulisha kama walivotangulia kusema wakuu hapo juu unaona n kheri kujipatia pesa kwa njia za shetan. So sorry mkuu.by waugh
nashukru kwa aliyeheshimu mada yangu.
Nia iliyonifanya niandike ww huwezi kunibadilisha,na mimi nimetamka wazi kwa wahusika tu na sijahitaji wenye matusi na kejeli.kwanini?watanzania mnapenda matusi na lawama? Haiwezekani kila kitu ni lawama.