Mwenye utaalam na nii kitu plz

Mwenye utaalam na nii kitu plz

MTU MREFU

Member
Joined
Jul 14, 2011
Posts
60
Reaction score
7
Kuna data nilimwachia mtu PC akazi delete,kuna uwezekano wa kuzirudisha!!!!!naomba msaada kama upo
 
yup kuna software za kurecover.....kuna moja inaitwa power data recovery mi niliwahi itumia na kufanikisha kuzpata data nilizodelete kwa bahati mbaya
 
kama data zilikuwa ni size ndongo utazikuta recycle bin...kama alienda na recyclebin aka empty..basi iyabidi utumie softwate kama mkuu hapo juu alivyosema...vilevile kama data zilikuwa na ma GB kibao jaziwez ingia kwa recyclebin automatically tumia software...
 
Nenda kwa mganga, kama wanaweza kusaidia watu kujiunga na freemason hili litakuwa dogo sana. Any way unaweza kuzipata ikiwa amedelete kwenye recycle bin, basi tafuta data recovering software, ila pia inasegemea na os unayotumia
 
Kuna data nilimwachia mtu PC akazi delete,kuna uwezekano wa kuzirudisha!!!!!naomba msaada kama upo

pole sana kaka/dada hilo ni tatizo dogo sana na linachukua kama nusu saa tu sisi ni kampuni ya kimataifa ya data recovery hata kama aliyekuuzia hiyo PC yako alifuta kitu kitarudi na utakiona tupo dar sijui wewe mkuu upo sehemu gani..

Back To Topic

mkuu tumia zako data recovery nenda hapa www.filehippo.com halafu search data recovery utazipata kibao tu
 
Back
Top Bottom