senetor sabo
Member
- Mar 6, 2014
- 21
- 0
sms ilinitaka nitoe laki tatu then nikiwa katika training sasa me sikuelewa nini kinaendelea ndo maana nakwambia tusubir tar 20 had kufika 1 mwez wa nne itafaahamika vizurCjapigiwa wangu ila nilisha fanya test yao ya kwenye net,ila jf wengi wanadai wamepigiwa cm wakiombwa pesa asa ndo mana nashindwa elewa mara wengine wanadai jamaa ni matapeli du ndo nachoka kabisa wangu
pia nami nilifanyaNdio nilifanya wangu wew je
poa tutafahamishanaok ngoja 2one hatima yake mana hapa hata sielewi elewi vile wangu
kwel ulifanya ile aptitude test walotoa?
Chondendechonde jamani huyo jamaa ni mwiz mm nlisha wasilian na muhusika mwenye wa MCB akasema kaz zilizowekwa n za uongo
Wale tuloomba kazi MWANZA COMMUNITY BANK tuwe makini wale jamaa wanaojifanya ni ma consultants ni wezi watupu ,Jana yule anayejihita PIUS MWESIGA ametuma mesej kwa mtu akimtaka ampe sh laki 3 then ampatie laki 1 kipindi atakapokuwa training.....angalizo , Mwanza Community Bank itaanza kazi miez michache ijayo but hawajaanza kuajiri tafazal...TAK CARE WEZI wengne tunao hum hum...
Pia walisema kutakuwa na training ya miezi mitatu. Hivi kina mtu anajua hiyo training inakuwa inafanyiwa Dar au Mwanzs?