Mwenye up date ya mazishi ya kanumba plz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenye up date ya mazishi ya kanumba plz

Discussion in 'Celebrities Forum' started by kinudy, Apr 7, 2012.

 1. k

  kinudy Member

  #1
  Apr 7, 2012
  Joined: Mar 29, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  wana jamvi kwa wale walio na taarifa za mazishi ya kijana mwenzetu naomba atujuze hapa jamvini ili watu tujipange plz nawasilisha
   
 2. ze encyclopedia

  ze encyclopedia JF-Expert Member

  #2
  Apr 8, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 271
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  atazikwa dsm, au bukoba kwao na mama yake. au mwanza kwa babu yake. ama shy kwa baba
   
Loading...