AiseeIla anajituma akiwa juu na anapiga tako styles za mbuzi mkwekwesu japo tako lake lina mabonyebonye kama barabara ya kokoto, alituburudisha kiasi chake.
Nilikuwa najiuliza inakuwaje menina binti mzuri amvulie nguo mshamba mwijaku? Kumbe Menina alikuwa analigawia "Gridi ya Taifa".
Nimesikia alifichwa ugonjwa hakuambiwa kama mwenza ni mgonjwa so inawezekana Kinga ilishuka saba kiasi cha kupata magonjwa nyemelezi kama hayo.Hivi unafikaje huku na ARV zipo serious
😞Kweli huu ugonjwa changamoto jamani jamaa wanasema ndio uyo kwenye kiti cha magurudumu
View attachment 1862306
Nilikuwa najiuliza inakuwaje menina binti mzuri amvulie nguo mshamba mwijaku? Kumbe Menina alikuwa analigawia "Gridi ya Taifa".
bila kusahau ana video zake za utamu
Mtoto Ana mkono wa nyani aka juliana
Aisee kuna warembo wakali sana wanagawa kama njugu. Yaani wanakuja hadi DM kujiuza eti mimi $100 tu unaamua mwenyewe unifanye nini!! Mtoto mkali ile mbaya lakini unajiuliza ni wangapi hata wa $50 au hata T shs laki tu wameshamgonga!?
Hatari ,hawana cha kupoteza ,lengo ni kusambaza MOTO kwa watu wengi ili asipatikane wa kuwakejeli au kuwalaumu.
Ukimwi au covid?Kweli huu ugonjwa changamoto jamani jamaa wanasema ndio uyo kwenye kiti cha magurudumu
View attachment 1862306
Anatiwa na kila mtu kivipi? Mbona mimi sijamtia?
Tupe tuu code zake tutajumlisha wenyewe na hizo kodi ya uzalendo huoni unatutesa mkuu.Huyo aliyezaa na Menina ni waziri mmoja jina kapuni ndo anayemuweka mjini kwa sasa na tambo zote.
Chief.. hii umeandika hapa acha tu.. Mungu atusimamieMwenyezi Mungu naomba aniepushe na magonjwa. Ninategemewa nikiumwa nitakwamisha wengi
Sasa unakuta ushanitia dawa za waganga 4 tofauti tofauti nguvu zinatoka wapi?Na wewe unaachwaje ndani ufe? Huna simu,huna ndugu? Huna majirani? Hospitali hupajui? Yaani umefungiwa kabisa na simu umenyang'anywa au? Na nje hutoki?
Mkono wa nyani ni nini?
Tangu Mwijaku afumue buti lake sitaki kumwona huyu mtoto.Eid al adha mubarak wana JF
Jamani mwenye ubuyu kamili wa menina na anayedaiwa kuwa alikuwa mumewe wamezaa mtoto ana kama miezi miwili mitatu, atupashe
Nasikia bi dada ni mgonjwa na hakumtaarifu mwenzie... mume kaumwa hoi hoi hadi umauti kumkuta huku menina akiwa location🥱
View attachment 1862297