Tetesi: Mwenye ubuyu kamili wa Menina

Omulasil

JF-Expert Member
May 5, 2015
4,513
2,000
Ukifanya hivi basi hii nchi haitokuwa ni ya demokrasia ni ya udikteta huwezi nyima,watu wafanye yao
Ujinga umekuwa mwingi mno. Bora tu udikteta, mara ameliwa tigo, huku miss avuliwa taji, mara kiki nyiiiiingi na umbea.
Uhuru usio na mipaka huu
 

T14 Armata

JF-Expert Member
Mar 7, 2017
4,260
2,000
Sio kweli professional wadangaji wanatembea na kondomu na mafuta ya Nazi sio rahis kuupata

Ukimwi unaupata kwa mwanamke uliyemhonga ela nyingi sababu sio rahis kutumia kondomu
Professional wadangaji hawatumii mafuta ya nazi, hayo mafuta ni ya wale wa kimboka. Kuna liquid based lubricants na oil based kwa ajili ya dhambi hizo. Mafuta ya kukaanga samaki au kujipaka usoni hayawezi kuwa effective kwenye kujikinga. Nail maana tatizo la condom kupasuka haliishi
 

Pisi kali

JF-Expert Member
Dec 31, 2019
1,106
2,000
Inakuaje mgonjwa aliyeambukizwa within less than 2 years afikie hatua hii. Wakati muda huu bila kupima kwa kawaida anakuwa hajaanza hata kuumwa

Hata mwezi mmoja tu unabadilika ni kutokana na mapokezi yako mwingine anakubaliana na hali anaanza dozi au anakula mlo kamili na kuzingatia mambo yote yanayotakiwa kuyafanya


Mwingine stress anapata hata uchizi hata siku hiyo hiyo ya majibu... (jini kabula yuko wapi sikuhizi)


Wengine Ndio hawali hawanywi hawatumii dawa anaona maisha kayakosea ndio hupelekea kudhoofika ghafla...
 

Vera ginger

JF-Expert Member
Dec 25, 2016
1,179
2,000
Jamani mbona huyo kijana nilisikia alipooza
Na ndio maana hata hapo kwenye wheel chair km kaeleme upande kdg
 

Science Priest

JF-Expert Member
Mar 7, 2019
2,169
2,000
Professional wadangaji hawatumii mafuta ya nazi, hayo mafuta ni ya wale wa kimboka. Kuna liquid based lubricants na oil based kwa ajili ya dhambi hizo. Mafuta ya kukaanga samaki au kujipaka usoni hayawezi kuwa effective kwenye kujikinga. Nail maana tatizo la condom kupasuka haliishi
Nimetolea mfano hayo mafuta si yanatumika kwenye kujifungulia na wale wacheza porno, na Wala tigo nimetolea mafuta ya Nazi kama option ya mwisho
 

Quavohucho

JF-Expert Member
Aug 30, 2020
487
1,000
Wadada wa mjini ni shida

Baada ya kuvuja video zake
Alikuwa anaisha na jamaa mmja n mganga wa mjini naye hiv
ambaye n rafiki na huyu marehemu;kwamba kapita nao wote

Ngono za mapema (primary) zimepoteza sana wadada wa dar ; wanajikuta wanakuwa addicted na ngono tena kwa MTU mmja hawatosheki

Screenshot_20210722-122738~2.png
 

T14 Armata

JF-Expert Member
Mar 7, 2017
4,260
2,000
Wana anza kuumwa wakiwa na muda gani Dr wa jamii forum
Kama unahishi Saudi Arabia ambako HIV ni almost hawaijui huwezi elewa. Haihitaji hata cheti cha la saba kujua hili, soma hata waathirika wenyewe nyuzi zao ziko humu. Kuna watu wachache wanazaliwa nao mpaka wanatimiza miaka 13 hajawahi tumia ARVs
 

Lecheminduroi

JF-Expert Member
Aug 24, 2018
886
1,000
Professional wadangaji hawatumii mafuta ya nazi, hayo mafuta ni ya wale wa kimboka. Kuna liquid based lubricants na oil based kwa ajili ya dhambi hizo. Mafuta ya kukaanga samaki au kujipaka usoni hayawezi kuwa effective kwenye kujikinga. Nail maana tatizo la condom kupasuka haliishi
Hivi nyie ambao ndomu zinapasuka ni kwamba mnamishipa ya punda au mnatumia home made condoms?

Inawezekana kuna mahali sielewi au pia kuna sehemu nyie huwa mnakwama!

Mimi nimefundishwa hospital jinsi ya kuvaa condom na wala sijawahi kumbana na hiyo shida, hakikisha condom ukivaa haipitishi hewa (usiache uwazi na unavyoivaa hakikisha unabana kale kadude ka mbele kabisa ya ndomu) utaleta mrejesho hapa mkuu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom