- Thread starter
- #21
Asante mkuu. Mimi ni mtu wa kawaida sana, naamini nitawezana nao. Mungu anijalie tu hekima maana eneo jipya lina mapya yakeWatu wa iringa ni wakarimu sana iwapo hutowaonesha dharau na kujifanya unajua sana
We kuwa mpole na mkimya utafurahia hii ardhi ya mkwawa
Kamwene mnogage ndizo salamu zetu
Ulanzi kinywaji malidhawa had watoto wanatumia kama maziwa