ushukuru wa kiume umepona ,isimani ni sehemu ya Jimbo la uchaguzi ndani pia ni taarafa ndani ya iringa DC hali ya hewa ni sem derset jotolakuchoma , Masai ni wengisana hasa maeneo ya ilambilole ,kihorogota ,nyangoro ,pawaga ,idodo hivyo ni baadhi ya vijiji pia hifaddhi ya ruaha national park imepita hifaddhi kubwa ya pili Kwa afrika ........... pia Kuna center Moja maarufu lyanga pia Kuna Kijiji maarufu mkungugu alipogongewa risasi Dr crelu aliyekuwa mkuu wamkoa Iringa yanakutosha mdogowangu nimeishi miaka ya 1999 hadi 2000 ,mengine ukipanda basi kama unatokea sengerema au singida uwe unauliza konda