Mwenye taarifa za DART kuita interview

Mwenye taarifa za DART kuita interview

Daaah wazee mi naelekea baharini kuoga eti sjoana jina langu na nili apply ile yenye post 80..majina 841 simo...dah ngoja nkaoge tu maji ya bahar halafu niende nkalime
unazungumzia customer support?nafasi zilikua 6 na sio 80.inawezekana barua yako haikufika mkuu.
 
kwa hiyo,tang'ana una maana custom support zile post 6, ndo wameshortlist watu 841? jaman mwenye majina tunaomba atutupie basi maana sisi wengine tupo mkoa, tusaidiane.
 
kwa hiyo,tang'ana una maana custom support zile post 6, ndo wameshortlist watu 841? jaman mwenye majina tunaomba atutupie basi maana sisi wengine tupo mkoa, tusaidiane.
Mkuu nimeshika gazeti saivi ...ni pm jina lako na post uliyoomba mana kamera yang haina mwanga wa kutosha labda kama ntajaribu ...
 
tayar nimekpm mkuu! ya wato 80 ilikuwepo sema sikumbuki.
 
duh!hivi huko serikalini hawana hrs wenye akili timamu?nini maana ya shortlist sasa..yani nafasi 6 watu 841?
 
Nafikir kuitawatu ni vzuri zaidi, kuliko kuto kuita, hacheni hao,841 wakajichuje ili wapatikane 6.
 
image.jpeg
 
Asante tuweke yote basi kama hautojali.pole kwa usumbufu.
Zinachuku muda sana kuload.. LTE ya tigo inazingua na zipo nyingi sana .. Kama mtu ana watsapp anaweza kuni pm namba nimtumie zote at once .. But nitajaribu kuzi upload zote japo sitaweza kuziweka zote kwa leo zitakazobaki nitaweka kesho.. Ila pamoja wadau..
 
Back
Top Bottom