Sasa walitangaza nafasi za nini kama wanafanya mazoezi inamana ni watu wao, daah, wengine tusio na ndugu tukalime tu!Mbona wanafanya mazoez?!
Tutawaita leo jioni kama nafasi zimebaki, hata hivyo UDAwameshaleta watu wao tayari nyinyi mnaweza kuulizia sehemu nyingine kwenye mradi unaoendeshwa na serikali yenu sikivu sisi tushanunua kila kitu.Tulishaita,na waliofanikiwa wataanza kazi 10/05/2016.asanteni kwa kushiriki kutuma maombi na kulichangia shirika la posta.
Mliita kwa kutumia njia gani?Tulishaita,na waliofanikiwa wataanza kazi 10/05/2016.asanteni kwa kushiriki kutuma maombi na kulichangia shirika la posta.
Duuuuuh zisi kantri buanaDART hawatoita tena watu kwa zile nafasi walizozitangaza.Zile kazi zilirudishwa tena kwa aliyepewa tenda ya kuendesha mradi ambae ni UDART ambae anaajiri kwa kutumia utaratibu wake ambao alishaanza kuutumia kuajiri watu.Note that DART ni agency wa serikali katika kusimamia mradi, UDART ni kampuni binafsi chini ya robert kisena(Bosi wa UDA) iliyoshinda tenda ya kuendesha mradi wa mwendokasi ila ikiwa monitered na serikali ambao ndio DART.Baada ya DART kutangaza zile kazi UDART wakacomplain kwa nini serikali inataka kuwaajiria watumishi wa kampuni yao ikiwa kuajiri wafanyakazi ni mandate yao(remember walishaanza kuita watu katika intavyuu na kuajiri), ndipo serikali(DART) ilipoamua kurudisha mandate hiyo ya kuajiri kwa UDART(private co) kuendelea na zoezi la kuajiri. So forget kabisa hutokuja kuitwa kwenye intavyuu na DART ila peleka maombi yako ofisi za UDART kama nafasi bado zipo utaitwa.
The beeeest place to live.Duuuuuh zisi kantri buana
Fo sam pipoThe beeeest place to live.