DOKEZO
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 323
- 499
endi yu ale amangi zemu bati iti dipendi wizi yua wishiFo sam pipo

endi yu ale amangi zemu bati iti dipendi wizi yua wishiFo sam pipo

Kweli hii nchi ina wenyewe.. Dah!!DART hawatoita tena watu kwa zile nafasi walizozitangaza.Zile kazi zilirudishwa tena kwa aliyepewa tenda ya kuendesha mradi ambae ni UDART ambae anaajiri kwa kutumia utaratibu wake ambao alishaanza kuutumia kuajiri watu.Note that DART ni agency wa serikali katika kusimamia mradi, UDART ni kampuni binafsi chini ya robert kisena(Bosi wa UDA) iliyoshinda tenda ya kuendesha mradi wa mwendokasi ila ikiwa monitered na serikali ambao ndio DART.Baada ya DART kutangaza zile kazi UDART wakacomplain kwa nini serikali inataka kuwaajiria watumishi wa kampuni yao ikiwa kuajiri wafanyakazi ni mandate yao(remember walishaanza kuita watu katika intavyuu na kuajiri), ndipo serikali(DART) ilipoamua kurudisha mandate hiyo ya kuajiri kwa UDART(private co) kuendelea na zoezi la kuajiri. So forget kabisa hutokuja kuitwa kwenye intavyuu na DART ila peleka maombi yako ofisi za UDART kama nafasi bado zipo utaitwa.
Uliitwa na nani?Aisee mbona interview tushapiga
Hee we ni mgeni hii nji?!Sasa walitangaza nafasi za nini kama wanafanya mazoezi inamana ni watu wao, daah, wengine tusio na ndugu tukalime tu!
Aise lini hio ...Aisee mbona interview tushapiga
Kaka mimi sasa hivi naenda kununua gazeti.. Nitali snapchat na kulituma hapa... Muda si mrefuyyte aliye nunua gazeti la mwananchi la leo tunaomba please atufanyie msaada maana wengine tupo mkoani uku gazeti linafika baada ya siku tatu, nipo hapa kigoma mpakani karibu na rwanda niliomba ili nikipata nirudi Dar maana, hali ya uku kigoma nacheza na warundi mda wte jamna tusaidiane.
Website yao hawatoi kila kitu hata kazi hawakuziweka kwenye website zao piaThis site has been blocked by the network administrator.
Block reason: Gateway GEO-IP Filter Alert
IP address: 41.222.181.189
Connection initiated from country: Tanzania, United Republic of
UHUU Ndo upuuzi uliopo kwenye website yao kwa leo, hivi uhuu mradi una milikiwa na Kisena na Wahindi nini? Yani wameniboaje aise mi nipo kibondo nategemea nisome kwenye website hakuna kitu