uzaramoni king
Member
- May 25, 2014
- 35
- 9
mi kuna Jamaa yangu kaangalia gazet kaniambia hiyo ya station attendant hawajatoa HV ni kweli au watatoa tenaIlikuepo "stations assistant/attendant"
Nafasi 80
mi kuna Jamaa yangu kaangalia gazet kaniambia hiyo ya station attendant hawajatoa HV ni kweli au watatoa tenaIlikuepo "stations assistant/attendant"
Nafasi 80
wameita gazeti la mwananchi janaMwenye taarifa DART kuita interview
wameshaita jana gazeti la mwananchi na website ya dartbado hawajaita
Fairinterview ilikuaje?
maswali gani mmeletewa?Fair
Easy tu, DART wapo fair, wametoa maswali ya kulingana na nafasi uliyoomba, sio km yale ya Utumishi...unaomba nafas ya uhasibu kwe mchujo mnaletewa maswali ya kemiamaswali gani mmeletewa?
yaa kama alivyosema mdau Vieloon hapo juumaswali gani mmeletewa?
Nimeipenda iyo sana.Easy tu, DART wapo fair, wametoa maswali ya kulingana na nafasi uliyoomba, sio km yale ya Utumishi...unaomba nafas ya uhasibu kwe mchujo mnaletewa maswali ya kemia
Ha ha ha lazima upaishe penaltyNimeipenda iyo sana.
Unaweza kuta swali
Write chemical properties of hydrogen huku interview yenyewe n ya office asistant
multiple choices na moja la kujaza 4 objectives of DARTMmetolewa maswali gani ya interview vijana?
sure it was fairEasy tu, DART wapo fair, wametoa maswali ya kulingana na nafasi uliyoomba, sio km yale ya Utumishi...unaomba nafas ya uhasibu kwe mchujo mnaletewa maswali ya kemia
tar 26 NITAwamu ya pili lini jaman
Ndio chek websiteWameshatoa majina?