Durovic
JF-Expert Member
- Mar 13, 2017
- 4,082
- 7,408
Source: Wikipedia Regions of Tanzania - WikipediaZinapatikana zile za zamani zenye mikoa 21, na sio 26.
Source: Wikipedia Regions of Tanzania - WikipediaZinapatikana zile za zamani zenye mikoa 21, na sio 26.
Kipindi hicho mnaweka picha kwenye Album, akija mgeni mnaanza kukumbushana matukio ya zamani maisha yalivyokuwa magumu.Hii inanikumbusha mtoto bado hata mdingi hajajipata na kununua TV, tulikuwa nayo kubwa imewekwa ukutani sebuleni, basi wageni wakija ndio ina gumzo la kuongelea miji na vijiji vya bongo
Mshua alikuwa na akili sana
Tumia AI andika ramani ya mikoa 26 kama unavyotaka nimeweka link noana site inaziblockZinapatikana zile za zamani zenye mikoa 21, na sio 26.
😄😄😁😁Hii inanikumbusha mtoto bado hata mdingi hajajipata na kununua TV, tulikuwa nayo kubwa imewekwa ukutani sebuleni, basi wageni wakija ndio ina gumzo la kuongelea miji na vijiji vya bongo
Mshua alikuwa na akili sana
***** limejitia midole na kuja kujinusa na ID nyingine,
Wewe ni hanisi nini ?
Mkoa wa morogoro unatakiwa ugawanywe iwe mikoa miwili, pia Tabora igawike iwe miwili.
Hii haina Manyara, Geita wala Katavi na njombe.
Utaipata kwa kutunia Goooooooogle kwenye simu yako kwa kuipata ramani rasmi kwenye saiti ya serikali ya JMT.Wasalaam,
Kuna jambo la kijiografia nalifanyia study.
Mwenye ramani ya Tz yenye mikoa 26 na wilaya zake, naomba anitumie.
Shukrani.
Hii inanikumbusha mtoto bado hata mdingi hajajipata na kununua TV, tulikuwa nayo kubwa imewekwa ukutani sebuleni, basi wageni wakija ndio ina gumzo la kuongelea miji na vijiji vya bongo
Mshua alikuwa na akili sana
Haikidhi japo inafanana.
Hakuna kijani, siyo.
Mlimba hadi Tuliani Morogoro, masaa 12, kilometa 570, ndani ya mkoa mmoja. Imagine.Mkoa wa morogoro unatakiwa ugawanywe iwe mikoa miwili, pia Tabora igawike iwe miwili.
Haina hata Geita!Ramani batili
Haina Songwe, Manyara, simiyu, njombe na katavi
Muulize AI kulingana na mahitaji yakoWasalaam,
Kuna jambo la kijiografia nalifanyia study.
Mwenye ramani ya Tz yenye mikoa 26 na wilaya zake, naomba anitumie.
Shukrani.
Au kutoka msamvu hadi Mahenge Ulanga, siku nzima, nimekumbuka Mlima Ndororo.Mlimba hadi Tuliani Morogoro, masaa 12, kilometa 570, ndani ya mkoa mmoja. Imagine.
Nimetoka juzi. Mkeka hadi Ifakara. Sema maroli ya kufuata Mpunga yameshavamiaAu kutoka msamvu hadi Mahenge Ulanga, siku nzima, nimekumbuka Mlima Ndororo.
Wakati huo magari hayawezi kupishana kabisa. Duuh
Duuh ile barabara enzi hizo hakuna lami, basi wakati wa mvua shida tupu, nasikia sahivi ifakara kuna daraja? Sisi wakati huo tulikua tunavuka na pantoni.Nimetoka juzi. Mkeka hadi Ifakara. Sema maroli ya kufuata Mpunga yameshavamia
Yeah, Kali sana, Kilombero bridge, pamechangeDuuh ile barabara enzi hizo hakuna lami, basi wakati wa mvua shida tupu, nasikia sahivi ifakara kuna daraja? Sisi wakati huo tulikua tunavuka na pantoni.
Kheeh kweli ifakara kumenoga, nifanye nitembelee huko kidogo, panashawishi. UwiiihYeah, Kali sana, Kilombero bridge, pamechangeView attachment 3679503
Naiuza, laki unusu tuu nakupatia hy ramaniWasalaam,
Kuna jambo la kijiografia nalifanyia study.
Mwenye ramani ya Tz yenye mikoa 26 na wilaya zake, naomba anitumie.
Shukrani.