wewe ni mchochezi?
sawa tuunataka ukanunue UNGA?
Dah...Bado unatafuta tu? [emoji12] [emoji12] [emoji12]nitafute pesa
hazijatoshaDah...Bado unatafuta tu? [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Na wewe nikukute kujipa cheo usichokuwa nachoMleta post naomba nikukute central.
Kinachoniumiza wote walienda wenyewe kwa makosa Sawa lkn huyu mweupe kaenda na watu nane sita wazawa na watu wawili weupe wenzake dahPoli wametulia tulii.
Hapo ningekuwa ndo mie yaani tayali nshapigwa virungu mpaka adabu inishike.
Nimeamini umasikini ni dhambi isokuwa na toba.
Mkuu hicho cheo ni lazima nitakipata maana aliyepo kakosa vipaumbele vya kitaifa. Nikikosa nitakuwa Rais wa wauza ngada Dar.Na wewe nikukute kujipa cheo usichokuwa nacho
[emoji40] [emoji41] kipindi hiki lazima kuwa na akiba ya maneno ambayo utayasema kituo kikuu katiMkuu hicho cheo ni lazima nitakipata maana aliyepo kakosa vipaumbele vya kitaifa. Nikikosa nitakuwa Rais wa wauza ngada Dar.
Dah.. Usije kushangaa maisha yote unatafuta tu... Kutumia hutumii... raha ya pesa ni kutumia[emoji12] [emoji12]hazijatosha
natumia piaDah.. Usije kushangaa maisha yote unatafuta tu... Kutumia hutumii... raha ya pesa ni kutumia[emoji12] [emoji12]
[emoji1] [emoji1]uchochezi na vichocheo.................
Ohoooo!!!ndivyo inavyokuwaga siku zote.
unaambiwa god made weed, Man made beer.
mbona hapa kama ni uwanja wa taifa