Mwenye pesa si mwenzako

Mwenye pesa si mwenzako

'...PESA IKO JUU YA SHERIA, MAFUKARA NDO TUNAOONEWA,
MALI YANGU NADHULUMIWA NAFUNGWA...' #TUNDAMAN + MADEE.

'...MWENYE HELA ATAKUHAMISHA DAR, NA AKITAKA HATA JELA UTAKAA...' #MADEE-HELA.

NIGUSE UONE... BODY LANGUAGE SPEAKS A LOT THAN WORDS.
 
Picha ya uwanja wa Taifa(Manji) hao wengine Kisutu hapo.. Mnaleta haibu JF
 
Poli wametulia tulii.
Hapo ningekuwa ndo mie yaani tayali nshapigwa virungu mpaka adabu inishike.
Nimeamini umasikini ni dhambi isokuwa na toba.
Hapo ni uwanja wa taifa

Hata picha huoni bwana
 
Lakini kunatofauti kubwa bado: Angalia mavazi yao. Unajua ukiwa nadhifu hata heshima inakuja yenyewe lakini ukivaa kihuni kihuni kwa makosa watakuhesabu ni muhuni.

Sykolojia inatambua fact hii Kwamba "Mavazi huongea Waziwazi".
Hapo ni uwanja wa taifa
Game ya yanga.

Hata picha huoni mkuu
 
Pesa mbaya sana, hao polisi mmoja kaweka mkono shavuni mwingine ndo hana hamu kabisa
Hapo ni uwanja wa taifa game ya yanga

Polisi wanalinda usalama wa uwanja na sio kumlinda manji
 
Wenye nchi wanapigishwa magoti na kuchuchumishwa kama ngedere hala mkoloni anapewa haki zote!
Acha kukurupuka

Manji hapo yupo uwanja wa taifa game ya yanga

Halafu hao polisi hawamlindi manji Bali wanalinda usalama wa uwanja
 
Acha kukurupuka

Manji hapo yupo uwanja wa taifa game ya yanga

Halafu hao polisi hawamlindi manji Bali wanalinda usalama wa uwanja

Sawa Mkuu. Hawa mpumbavu katuonganishia picha ni kama tukio moja. hata hivyo, jamaa ana pesa yake.
 
Acha kukurupuka

Manji hapo yupo uwanja wa taifa game ya yanga

Halafu hao polisi hawamlindi manji Bali wanalinda usalama wa uwanja
Acha kujifanya unajua mambo wewe. kubwa jing* nani kakurupuka?
Siku nyingine ushirikishe vizuri masaburi zako kabla ya kunukuu komenti ya mtu.
Ungesema tu hapo ni uwanja wa Taifa bila kujali ni kweli au la bila kutumia "kukurupuka" usingeeleweka?
kubwa jinga kabisa-kichwani hazimo wewe si bure maana hiki ulichoandika hata mtoto wa chekechea hawezi andika.
 
Halafu kuna nyumbu nyingine kwa pembeni hapo zimevalia kijani na njano zinapigwa na jua hatari.
(Btw natania tuu hizo picha ni za maeneo mawili tofauti)
 
Matabaka hayakosekani na ni lazima katika jamii ya kibepari
 
Back
Top Bottom