Mwenye pesa si mwenzako

mfilisti

JF-Expert Member
Sep 24, 2015
3,641
19,278
drg.jpg
manji.jpg
 
Poli wametulia tulii.
Hapo ningekuwa ndo mie yaani tayali nshapigwa virungu mpaka adabu inishike.
Nimeamini umasikini ni dhambi isokuwa na toba.
 
Kudadadeki ngoja niongeze mbinu ili siku moja na mimi niwe nazo za kutosha
 
Pesa mbaya sana, hao polisi mmoja kaweka mkono shavuni mwingine ndo hana hamu kabisa
 
Lakini kunatofauti kubwa bado: Angalia mavazi yao. Unajua ukiwa nadhifu hata heshima inakuja yenyewe lakini ukivaa kihuni kihuni kwa makosa watakuhesabu ni muhuni.

Sykolojia inatambua fact hii Kwamba "Mavazi huongea Waziwazi".
wewe ni mchochezi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom