Mwenye nyumba yangu hataki nipike kitimoto

Ana majini huyo na mapepo
Habri zenu wana JF,

Nimepanga maeneo fulani hapa Dar lakini mwenye nyumba wangu kamuuliza mke wangu kama tumewahi pika kitimoto akajibiwa hapana kumbe kashamuuliza na dada wa kazi sasa sijui kama daa alimjibu vipi japo yeye anasema dada naye alikatanisasa akasema tusipike kitimoto ndani maana yeye anajisikia vibaya na hapendi,

Swali langu ni atakuwa na matatizo gani maana nasikia kunawatu wanatumia nguruwe kutolea mapepo na madude mengineyo na je nikipika tena atajuaje?

Asante

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 
😂 😂
Kuna mji mahali fulani kanda ya ziwa tulikuwa tumepanga na bro zamani sana ndo anajiliwa jeshini. Kutopika kiti moto lilikuwa shart mojawapo. Kuna siku tulinunua kiti moto tukapika mle ndani. Nyumba ilitetemeka yoyote kama vile kuna tetemeko, na kuna kitu kilitonoa bati upande wa chumba chetu kikatua ndani kama jiwe ila hatukukiona kilikuwa nini. Tuliombwa kuhama siku hiyo hiyo na kodi tukarudishiwa
mkome! 😂 😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habri zenu wana JF,

Nimepanga maeneo fulani hapa Dar lakini mwenye nyumba wangu kamuuliza mke wangu kama tumewahi pika kitimoto akajibiwa hapana kumbe kashamuuliza na dada wa kazi sasa sijui kama daa alimjibu vipi japo yeye anasema dada naye alikatanisasa akasema tusipike kitimoto ndani maana yeye anajisikia vibaya na hapendi,

Swali langu ni atakuwa na matatizo gani maana nasikia kunawatu wanatumia nguruwe kutolea mapepo na madude mengineyo na je nikipika tena atajuaje?

Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kuwa hakuwahi kukueleza binafsi suala hilo kabla ama kama moja ya sharti wakati wa kuahamia, ni vyema ukazungumza nae kutafuta ufumbuzi wenye manufaa kwenu sote.
 
Kuna mji mahali fulani kanda ya ziwa tulikuwa tumepanga na bro zamani sana ndo anajiliwa jeshini. Kutopika kiti moto lilikuwa shart mojawapo. Kuna siku tulinunua kiti moto tukapika mle ndani. Nyumba ilitetemeka yoyote kama vile kuna tetemeko, na kuna kitu kilitonoa bati upande wa chumba chetu kikatua ndani kama jiwe ila hatukukiona kilikuwa nini. Tuliombwa kuhama siku hiyo hiyo na kodi tukarudishiwa
Ulikuwa unalala chumba kimoja na kaka yako! Nimekumbuka Gardner na bintiye
 
Habri zenu wana JF,

Nimepanga maeneo fulani hapa Dar lakini mwenye nyumba wangu kamuuliza mke wangu kama tumewahi pika kitimoto akajibiwa hapana kumbe kashamuuliza na dada wa kazi sasa sijui kama daa alimjibu vipi japo yeye anasema dada naye alikatanisasa akasema tusipike kitimoto ndani maana yeye anajisikia vibaya na hapendi,

Swali langu ni atakuwa na matatizo gani maana nasikia kunawatu wanatumia nguruwe kutolea mapepo na madude mengineyo na je nikipika tena atajuaje?

Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
Weka jinsia take kwanza: ME au KE?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utakuta jitu lifuska na midhambi kibao, alafu anasema eti kitimoto ni dhambi kula..

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
miaka imepita,nilienda Kigoma nilifika mchana;nilikuwa na hamu ya kiti nikaenda eneo Fulani wameezeka kwa makuti nadhani Barbara ya airport au km3 kutoka stend

kwa uroho nikatengeneza kilo 2,nikala na nyingine nikaamua kubeba,nikafunga vizuri tena kwa nailoni ili isitoe harufu

wenyeji wangu ni akina masudi.!

kiti cha kwanza kufika wenyeji wangu wakapokea bag na mfuko uliokuwa na kiti moto pamoja na kuwakatalia,wakakimbiza chumbani kwao.!! Nikalala na mawazo

Asubuhi wakati wa chai nashangaa yanaletwa maandazi na chai,pamoja na ile kiti moto na ndizi zikiwa zimepashwa moto.!?!!

imagine... wote walikula.!! na sikuulizwa hii ni nyama gani.?

sema baadae mazahouse aliniambia " ilibidi mboga tuipashe moto ili isiharibike '' nikajikausha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom