Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,631
- 38,749
[emoji39][emoji39][emoji39] mwenzio nina njaa, dah umenitesa sanaHama kwenye hiyo nyumba ya huyo baladhuli View attachment 1325591
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji39][emoji39][emoji39] mwenzio nina njaa, dah umenitesa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Habri zenu wana JF,
Nimepanga maeneo fulani hapa Dar lakini mwenye nyumba wangu kamuuliza mke wangu kama tumewahi pika kitimoto akajibiwa hapana kumbe kashamuuliza na dada wa kazi sasa sijui kama daa alimjibu vipi japo yeye anasema dada naye alikatanisasa akasema tusipike kitimoto ndani maana yeye anajisikia vibaya na hapendi,
Swali langu ni atakuwa na matatizo gani maana nasikia kunawatu wanatumia nguruwe kutolea mapepo na madude mengineyo na je nikipika tena atajuaje?
Asante
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah!!, Ila siku nyingine waambie ndizi waminye.Hama kwenye hiyo nyumba ya huyo baladhuli View attachment 1325591
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe una majini mangapi maalim
Daa aisee yani hapo nikiweka na Gordon's langu.....Hama kwenye hiyo nyumba ya huyo baladhuli View attachment 1325591
Sent using Jamii Forums mobile app