Mwenye Nyumba Mkorofi na Majungu Yake

Mwenye Nyumba Mkorofi na Majungu Yake

Sioni shida kumkopa mwenye nyumba, ajue tu tutakatana kwenye kodi.

Usijaribu kuwa na urafiki na mwenye nyumba, sababu huo urafiki lazima ukuumize, anatafuta mlango wa kukulia shida zake.

Kuna baadhi ya maeneo kulipa kodi ya miezi 6 ni kosa, utaonekana Mo!.
 
Ni muda sasa ujenge nyumba yako Masta
Hatari sana ,kero za kupanga zina muda ,ukishaoa anza ujenzi kabisa maana baada ya kuoa wanakuja watoto Mungu akibariki na inaopendeza watoto wakishaanza baby class wawe wanakaa vyumbani mwao.

Kuna jamaa aliniomba nimnunulie umeme umekatika kwake ,nilishangaa sana kwamba jina linasoma si lake ,nilisikitika sana kwa miaka yote ya kufanya kazi lakini bado amepanga.

Disclaimer:Natambua Wapo watu wana mijengo ya biashara na wamepanga.
 
Sioni shida kumkopa mwenye nyumba, ajue tu tutakatana kwenye kodi.

Usijaribu kuwa na urafiki na mwenye nyumba, sababu huo urafiki lazima ukuumize, anatafuta mlango wa kukulia shida zake.

Kuna baadhi ya maeneo kulipa kodi ya miezi 6 ni kosa, utaonekana Mo!.
Yeye ndiye aliyetaka kulipwa miezi 6.
 
Hatari sana ,kero za kupanga zina muda ,ukishaoa anza ujenzi kabisa maana baada ya kuoa wanakuja watoto Mungu akibariki na inaopendeza watoto wakishaanza baby class wawe wanakaa vyumbani mwao.

Kuna jamaa aliniomba nimnunulie umeme umekatika kwake ,nilishangaa sana kwamba jina linasoma si lake ,nilisikitika sana kwa miaka yote ya kufanya kazi lakini bado amepanga.

Disclaimer:Natambua Wapo watu wana mijengo ya biashara na wamepanga.
Mbona kupanga sio dhambi?
 
Yaani story yako imeniuma kama vile ni mimi yalinipata, kwanza anakuonaje/anakuchukuliaje kiasi kwamba akuulize suala ambalo halihusiani na upangaji wako kwake?

Tafuta dalali akutafutie mpangaji hapo kwake, halafu huyo mpangaji hela ya kodi unaichukuwa wewe yaani anakurudishia ile uliyokuwa umelipa kwa huyo mwenye nyumba,, unaenda kulipa sehemu nyingine, akikuuliza mbona anaona mtu mwingine kwenye hiyo nyumba? Mwambie ni ndugu zako wako hapo.
 
Baada ya kumlipa pesa yake ya miezi 6,pamoja na hela za taka na maji..

Naona amenikasirikia sana,

Huwa anajaribu kujenga mazoea na mm ila namkwepa.

Kajaribu mara kibao sana nimkope hela, ila na kataa maana najua ni hatanirudishia na tutasumbuana tu.

Sasa majuzi nimekuja na mtoto mkali kanipikia diko zuri, na nkamtafuna.. Asubuhi anakuja kunigongea na majungu sijui demu anapaswa alipie..

Nikamwangalia nakupatwa hasira..

Demu kaja kulala siku mbili na kuna wapangaji watu wazima wanaishi na familia zao, nimemjibu kiustaarabu ila next time nitamuwakia..

Kuna wazee wanatabu sana, na issue mbaya ni wako nyumba jirani, so wanakaa kuchora wapangaji na mazoea yasiyo na mbele wa nyuma.

Watoto wake hawana heshima kabisa,

Vinaongea matusi hadharani, vinadaharau Ukiniuliza kitu vinajifanya havikusikii..

Wengine wakiingiza mademu anataka aanze kujua, anastori za kitoto, anapenda kuongelea vitu vya ajabu ajabu tu.

Yaani mke wake ndo anajishugulisha hata kumzidi yeye..
Una miaka mingapi ww
 
Yaani story yako imeniuma kama vile ni mimi yalinipata, kwanza anakuonaje/anakuchukuliaje kiasi kwamba akuulize suala ambalo halihusiani na upangaji wako kwake?

Tafuta dalali akutafutie mpangaji hapo kwake, halafu huyo mpangaji hela ya kodi unaichukuwa wewe yaani anakurudishia ile uliyokuwa umelipa kwa huyo mwenye nyumba,, unaenda kulipa sehemu nyingine, akikuuliza mbona anaona mtu mwingine kwenye hiyo nyumba? Mwambie ni ndugu zako wako hapo.
Hii nayo idea ila kumpata huyo mtu ndo kimbembe alafu nitaingiwa gharama za kumlipa dalali tena
 
Professor wa ngazi za juu de nguna..nimekuita mara 3 wew kijana wa kimatumbi mwenye tambo na majivuno ya kimaandishi.

Nimesikitishwa na hili bandiko lako linaloonyesha wazi unaishi katika corridors za kupangisha , huku wapangaji mkiwa mmerundikana kama ndizi kwenye mkungu.

Wakati nikiendelea na uchunguzi binafsi kukuhusu..Sasa ni wakati wa wew mbantu mweusi kuhama na kwenda kupanga a stand alone apartment kama tufanyavyo washua wako.

Adioss de nguna , kwaheri ze ugali!!!!!
 
Mimi sina ukubwa wowote mkuu,😂😂😂

Ila apartment will doo
 
Back
Top Bottom