Mwenye namba ya Banza Stone!..

Maskini! He was a good musician. Asije aka-backslide into drugs!

Sidhani kama anaweza kurudi huko nilimsikia katika mahojiano fulani baada ya kuwa amepata hali nzuri alisema hatamani tena maisha ya kutumia madawa.
Banza bado bonge la musician hapa bongo sema havumi tu kama enzi zile za Achimenengule!...
 
wote tumetenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu, tusimsimange Banza Stone

Mbona sioni kitufe cha kulike post yako?..

Umesema vema wote bado tuko safarini hakuna mtu ajuae kwamba atakufa bila kupatwa au kufanya jambo fulani ni

kumuomba Mungu aepushie mbali tu kwetu sisi na kuwaombea waliokwishapatwa na matatizo!...
 
we zako mara ya mwisho kupima zilikua ngap?acha hizo au kwa sbb unaandika nyuma ya keyboard huonekani?usimsemee mwenzako usiyopenda kusemewa,na unaonekana unahitaj elimu khs stigma,hujui km wenye tatizo hili ni binadamu wenzetu nao wana hisia?grow up!

Take it easy,imekuwa kawaida sana....usiogope
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom