mwenye maamuzi ya kuvaa condom wakati wa ku sex ni nani?

vita ni vita1

Member
Mar 19, 2013
73
17
wadau kwa uzoefu wangu mdogo naona mara nyingi wanaume ndo huwa tunamaauzi ya kuvaa condom au kutovaa, baada ya deep romance wadada wengi sio wote fahamu huwa zinawatoka.....mkimaliza ku do utasikia dear kumbe hukuvaa?....karibu tu share mawazo kukabiliana na stds na aids
 

mvaaji........
 
Wanaume ndio wana power mara nyingi.........so mwanamke inabidi

ujue what you really want otherwise ............
 
Reactions: SMU
Condom za Kike ni chache ukilinganisha na za Kiume hasa kwa maeneo ya uswahilini na vijijini.
Hii huchangia kumfanya mwanaume kua na maamuzi zaidi katika swala zima la kuvaa au kutokuvaa Condom.
 
Nachokupendeaga wewe hua unasemaga ukweli tu, ila huyu jamaa sijui nani huyu paroko wako ananiudhi kweli, nahisi kama huna bahati hivi kua na paroko wa hivyo!

hahahaa umenichekesha na mambo ya Baba Paroko........

nimecheka sana:smile-big::smile-big::smile-big:
 
mimi sijawahi kutumia condom sababu nashindwa jinsi ya kuagizia dukani naona shy ile mbaya!!!!
:crazy:
 
Reactions: SMU
Kwa wale wanaopenda wanawake wanojiuza,,pesa ndio inaamua uvae ndom au usivae,,,,
 

Wanawake wanakuwa vichaa hususani kama ana nyege sana ndio ata ukimwambia nina ngoma ila kondom sina atakuambia wewe ingiza tu kivumbi. Game ikisha
 

katika hili ni wanawake wachache wana maamuzi juu ya kuvaa au kuto kuvaaa hadi karne hii na hili haliitaji utafiti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…