mwenye maamuzi ya kuvaa condom wakati wa ku sex ni nani?

hivi thamani ya uhai/afya yako ni swala la kijadili? kondom ni uamuzi binafsi kama mwenzio hataki sepa. ukipata std/mimba/hiv you wont have any1 to blame but yourself. nyie mabinti hebu 'grow some balls' and look after yourself for once
 
Ule michemsho ya kuku nilipe upige castle lite nilipe .....bado unachukua vikopo vya kunywa gesti wakati wa half time afu uniambie nivae condom!!! Tufyakwaaa
 
Mi nafikiri ni issue inayopaswa kujadiliwa mapema kabisa pale tu mtakapoamua kuanza kufanya mapenzi (kwa mahusiano mapya),kila mmoja afahamu msimamo wa mwenzie na mfikie makubaliano ya pamoja. Mkisubiri mkalijadili kitandani itavaliwa kama mwanaume ana nia ya kuivaa.
 
Ule michemsho ya kuku nilipe upige castle lite nilipe .....bado unachukua vikopo vya kunywa gesti wakati wa half time afu uniambie nivae condom!!! Tufyakwaaa

Mbona gharama ya kutibu STI's na STD's ni zaidi ya pesa ya mchemsho na Castle?
Naanza kuhisi wanaume wengi hawajui umuhimu wa kuvaa condom.
 
wadau kwa uzoefu wangu mdogo naona mara nyingi wanaume ndo huwa tunamaauzi ya kuvaa condom au kutovaa, baada ya deep romance wadada wengi sio wote fahamu huwa zinawatoka.....mkimaliza ku do utasikia dear kumbe hukuvaa?....karibu tu share mawazo kukabiliana na stds na aids

Of course ndume ndo kusema. Unless unalala na mal@ya. Kama ni dame genuine, huwa ashapoteza akili za kumake decisions mkiwa kwa foreplay
 
wadau kwa uzoefu wangu mdogo naona mara nyingi wanaume ndo huwa tunamaauzi ya kuvaa condom au kutovaa, baada ya deep romance wadada wengi sio wote fahamu huwa zinawatoka.....mkimaliza ku do utasikia dear kumbe hukuvaa?....karibu tu share mawazo kukabiliana na stds na aids

kweli kabisa....yaani unajiingilia kimdebwedo bila mpira lol. ila lakini mie siwalaumu mademu bwana...wee umeona mtoto mrembo anavutia na wee kidume ukatamani kumvua chupi na ukafanikiwa sasa kwa nini utumie condom? mgegede hivyo hivyo kavu muenjoy jamani
 
Attachments

  • Alicia keys.jpg
    Alicia keys.jpg
    19.5 KB · Views: 195
Wanawake waliokubuhu kwenye uwanja wa ngono wako makini sana katika suala la matumizi ya condom.Tatizo liko kwa wale wadada wanaojidai geti kali,ukigusa tu muhemko huu hapa,hawatumii ndom.
 
wadau kwa uzoefu wangu mdogo naona mara nyingi wanaume ndo huwa tunamaauzi ya kuvaa condom au kutovaa, baada ya deep romance wadada wengi sio wote fahamu huwa zinawatoka.....mkimaliza ku do utasikia dear kumbe hukuvaa?....karibu tu share mawazo kukabiliana na stds na aids

Wadada ndio wenye maamuzi mara nyingi wanasema zinawapa fungus ukeni hivyo they prefer nyamanyama.....asikkwambie mtu hiyo kitu kwa nyama nyama tamu kinoma na walio wend=gi siku kwenye vipima baridi vyao wanatembea na zile Rapid HIV test..Jioni njema
 
Paul Milya.UKiona huwezi kwenda dukani kununua condom tumia mbinu mbadala.Nenda kwenye baadhi ya sehemu za starehe kama bar huwa wanaweka chooni,chukua sepa.
 
Mara nyingi mwanaume Ndo mwamuzi! Usipoamua kuvaa basi mwanamke Hana maamuzi!

Wanawake Wa kizungu Ndo wenye msimamo juu ya Hilo!
 
Hahahaha jamanii ni bora sie wadada tukawasaidia wanaume kubeba Condom za kiume ili kuepukana na magonjwa ya zinaa!inatisha etii
 
wadau kwa uzoefu wangu mdogo naona mara nyingi wanaume ndo huwa tunamaauzi ya kuvaa condom au kutovaa, baada ya deep romance wadada wengi sio wote fahamu huwa zinawatoka.....mkimaliza ku do utasikia dear kumbe hukuvaa?....karibu tu share mawazo kukabiliana na stds na aids

Ndugu yangu swala la kuvaa au kutovaa halina discussion ni kwamba kuvaaa ni LAZIMA! WHAT IS MORE IMPORTANT LIFE OR 5 SECONDS HIGH PEAK!?
 
Back
Top Bottom