Mwenye kujua

Mwenye kujua

Nenda kwenye mazingira ya SAUT mfano raila odinga mwanjonde au nyamalango.ukikosa nenda ngaramtoni au lengijave
 
Nenda kwenye mazingira ya SAUT mfano raila odinga mwanjonde au nyamalango.ukikosa nenda ngaramtoni au lengijave

ngaramtoni na lengijabe ziko arusha kaka na siyo mwanza
 
Anyway, Siyo mbaya maana wengi wa watanzania siyo watu wa kwenda mbali na mazingira yanayowazunguka.
 
luchelele iko wilaya gani?

We unataka wilaya au sehemu ya utulivu?
Ni mwanza iyoiyo unaenda kwa daladala tu, huko pia kuna royal beach nenda kacheki ka kutakufaa.
Ka ni binti ni pm nikutafute mwaka mpya.
 
Unataka kichaka kama hichi uploadfromtaptalk1388301349237.jpg
Au kama hichi hapauploadfromtaptalk1388301384148.jpg
 
Back
Top Bottom