Ili iweje ?Habari za mida hii wadau wa jukwaa hili,
Swali langu kwa mwenye kuelewa vyeo vya WCB pale kwa diamond, naona kuna viongozi wengi ila sijajua vyeo vyao
Babu tale anacheo gani?
Fella ana cheo gani?
Sallam ana cheo gani?
WCB & ACT-WAZALENDO..
Sallam & Anna Mgwira
Babu Tale & Kitila Mkumbo
Habib Change & Mkubwa Fella
Kama alivyo ZITTO ndivyo hivyo pia kwa NASIB, wakisema wamesema na hakuna wakuwaingilia wala kuwakosoa wanabakia kama nyau walionyeshewa na mvua.
Unapata wapi huo ujasiri wakati tupo kwenye msako wa kumtafuta [hashtag]bring_back_ben_alive[/hashtag]?Hahahah nimecheka balaaa
Sawa ila nasikia almasi mzambele ni house boy ukitaka vocha au chips unampa pesa anaenda kukuletea na wakati mwingine anaosha mpaka magari ya wcbNipo hapa kifesi wacha niwapatie kwa uchache.
DIAMND =Msanii pia ndio mmiliki wa WCB.
Romy =DJ pia ni msaidizi wa shughuli za WCB.
Q - boy = Disgner, Anadili na masuala yote ya viwalo vya WCB.
Sallam = Manager wa DIAMOND,lakini sometimes anahusika na wasanii wote.
Babu Tale = Manager.
Felah =Manager.
Ricado Momo = Manager wa Harmonize.
Kame boy = Manager wa Rayvanny.
Harmonize = msanii.
Rayvanny = msanii.
Rich mavoko = msanii.
Queen Darlin = Msanii.
Almasimzambele = ?????
Tuddy Tomas = Sound injinia wa bendi,Producer wa DIAMOND.
Pia wapo.
Dancers si chini ya 12 - 14, DIAMOND wake 4 -mara nyingine anatumia 6, Harmonize 2 - mara nyingine anatumia 4, Ray 2 na rich 2.
Photographer/s na Videographer/s = hawapungui 4.
Lizer clasic = Wasafi record producer
Wapiga vyombo wa bendi wasiopungua 5-6.
karani.1
wapishi = 2-3.
walinzi =2.
Hawa ni kwa uchache na kwa haraka haraka,kuna uwezekano wapo zaidi ya hivo.
Wote hao wanalipwa mshahara na Diamond?Nipo hapa kifesi wacha niwapatie kwa uchache.

Na Mbowe je akibadilisha gia angani nani wa kumpinga pale ufipa?WCB & ACT-WAZALENDO..
Sallam & Anna Mgwira
Babu Tale & Kitila Mkumbo
Habib Change & Mkubwa Fella
Kama alivyo ZITTO ndivyo hivyo pia kwa NASIB, wakisema wamesema na hakuna wakuwaingilia wala kuwakosoa wanabakia kama nyau walionyeshewa na mvua.
Wengi wameelewaNipo hapa kifesi wacha niwapatie kwa uchache.