Mwenye kujua vyeo pale WCB tafadhali

Mr Hero

JF-Expert Member
Jun 11, 2015
5,542
7,450
Habari za mida hii wadau wa jukwaa hili,

Swali langu kwa mwenye kuelewa vyeo vya WCB pale kwa diamond, naona kuna viongozi wengi ila sijajua vyeo vyao

Babu tale anacheo gani?

Fella ana cheo gani?

Sallam ana cheo gani?
 
Kuna uzi humu unazungumzia chanzo cha hao wote kuungana Ili kufanya kazi na Diamond, all in all wote ni Managers wake sema wamegawana majukumu!
 
WCB & ACT-WAZALENDO..

Sallam & Anna Mgwira
Babu Tale & Kitila Mkumbo
Habib Change & Mkubwa Fella

Kama alivyo ZITTO ndivyo hivyo pia kwa NASIB, wakisema wamesema na hakuna wakuwaingilia wala kuwakosoa wanabakia kama nyau walionyeshewa na mvua.
 
Hahahah nimecheka balaaa
 
Dah mkuuu na mimi sijuwe kweli ila chukuwa number hii ya Diamond anapatikana pia whatsapp 0714648921 ukipata majubu usisahau kutujulisha na siye
 
Nipo hapa kifesi wacha niwapatie kwa uchache.
DIAMOND =Msanii pia ndio mmiliki wa WCB.
Romy =DJ pia ni msaidizi wa shughuli za WCB.
Q - boy = Disgner, Anadili na masuala yote ya viwalo vya WCB.
Sallam = Manager wa DIAMOND,lakini sometimes anahusika na wasanii wote.
Babu Tale = Manager.
Felah =Manager.
Ricado Momo = Manager wa Harmonize.
Kame boy = Manager wa Rayvanny.
Harmonize = msanii.
Rayvanny = msanii.
Rich mavoko = msanii.
Queen Darlin = Msanii.
Almasimzambele = ?????
Tuddy Tomas = Sound injinia wa bendi,Producer wa DIAMOND.

Pia wapo.

Dancers si chini ya 12 - 14, DIAMOND wake 4 -mara nyingine anatumia 6, Harmonize 2 - mara nyingine anatumia 4, Ray 2 na rich 2.
Photographer/s na Videographer/s = hawapungui 4.
Lizer clasic = Wasafi record producer
Wapiga vyombo wa bendi wasiopungua 5-6.
Mwarabu.= Body guard wa DIAMOND.
karani.1
wapishi = 2-3.
walinzi =2.

Hawa ni kwa uchache na kwa haraka haraka,kuna uwezekano wapo zaidi ya hivo.
 
Nipo hapa kifesi wacha niwapatie kwa uchache.
DIAMND =Msanii pia ndio mmiliki wa WCB.

Sawa ila nasikia almasi mzambele ni house boy ukitaka vocha au chips unampa pesa anaenda kukuletea na wakati mwingine anaosha mpaka magari ya wcb
 
Nipo hapa kifesi wacha niwapatie kwa uchache.
DIAMND =Msanii pia ndio mmiliki wa WCB.
Romy =DJ pia ni msaidizi wa shughuli za WCB.
Q - boy = Disgner, Anadili na masuala yote ya viwalo vya WCB.
Sallam = Manager wa DIAMOND,lakini sometimes anahusika na wasanii wote.
Babu Tale = Manager.
Felah =Manager.
Ricado Momo = Manager wa Harmonize.
Kame boy = Manager wa Rayvanny.
Harmonize = msanii.
Rayvanny = msanii.
Rich mavoko = msanii.
Queen Darlin = Msanii.
Almasimzambele = ?????
Tuddy Tomas = Sound injinia wa bendi,Producer wa DIAMOND.

Pia wapo.

Dancers si chini ya 12 - 14, DIAMOND wake 4 -mara nyingine anatumia 6, Harmonize 2 - mara nyingine anatumia 4, Ray 2 na rich 2.
Photographer/s na Videographer/s = hawapungui 4.
Lizer clasic = Wasafi record producer
Wapiga vyombo wa bendi wasiopungua 5-6.
karani.1
wapishi = 2-3.
walinzi =2.

Hawa ni kwa uchache na kwa haraka haraka,kuna uwezekano wapo zaidi ya hivo.
Wote hao wanalipwa mshahara na Diamond?
 
WCB & ACT-WAZALENDO..

Sallam & Anna Mgwira
Babu Tale & Kitila Mkumbo
Habib Change & Mkubwa Fella

Kama alivyo ZITTO ndivyo hivyo pia kwa NASIB, wakisema wamesema na hakuna wakuwaingilia wala kuwakosoa wanabakia kama nyau walionyeshewa na mvua.
Na Mbowe je akibadilisha gia angani nani wa kumpinga pale ufipa?
 
Nipo hapa kifesi wacha niwapatie kwa uchache.
DIAMND =Msanii pia ndio mmiliki wa WCB.
Romy =DJ pia ni msaidizi wa shughuli za WCB.
Q - boy = Disgner, Anadili na masuala yote ya viwalo vya WCB.
Sallam = Manager wa DIAMOND,lakini sometimes anahusika na wasanii wote.
Babu Tale = Manager.
Felah =Manager.
Ricado Momo = Manager wa Harmonize.
Kame boy = Manager wa Rayvanny.
Harmonize = msanii.
Rayvanny = msanii.
Rich mavoko = msanii.
Queen Darlin = Msanii.
Almasimzambele = ?????
Tuddy Tomas = Sound injinia wa bendi,Producer wa DIAMOND.

Pia wapo.

Dancers si chini ya 12 - 14, DIAMOND wake 4 -mara nyingine anatumia 6, Harmonize 2 - mara nyingine anatumia 4, Ray 2 na rich 2.
Photographer/s na Videographer/s = hawapungui 4.
Lizer clasic = Wasafi record producer
Wapiga vyombo wa bendi wasiopungua 5-6.
karani.1
wapishi = 2-3.
walinzi =2.

Hawa ni kwa uchache na kwa haraka haraka,kuna uwezekano wapo zaidi ya hivo.
Wengi wameelewa
 
Back
Top Bottom