Mwenye kuitambua namba 555

Mwenye kuitambua namba 555

kuku wa kienyeji

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2012
Posts
494
Reaction score
151
Habarini Great thinkers?

Nimepigiwa leo saa tisa za usiku na hio number nikiwa, sikuipokea. Leo asubuhi tena imepiga nilikuwa niko wash room, sikupokea.

Nimepiga tigo hawaitambui. Mwenye idea yeyote na iyo number? Isikute ninaitwa kwenye interview na kampuni za nje. Nishatuma maombi yangu mengi sana Ulaya
 
Ni kampuni ya ulaya, hata mimi nimepigiwa simu na week ijayo naenda kwenye interview ulaya.
 
Ni Za singasinga la escrow walitaka kuhakikisha kama ni wewe wawekee huko billion 1.6
Umekosa baati
 
ungepokea tu simu ili uje utuambuie ni nani huyo aliyekupigia
 
Watu tumekuwa wabovu sana,yaani tunaogopa hata namba!hii ni sheedah.
 
Back
Top Bottom