kuku wa kienyeji
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 494
- 151
- Thread starter
- #21
Na ingekuwa 666 nahisi angemtafuta mchungaji/shehe
Ningeokoka aisee! Hio chapa hawatanipiga
Na ingekuwa 666 nahisi angemtafuta mchungaji/shehe
wewe ujue usisikilize vimbunga jiulize alafu jadili kwenye nafsi yako den ukipata jibu utajua kupokea au usipokee
matangazo ya tigoWamekuambiaje ? Vipi ni interview za dubai or
namba ngeni kupokea kwangu ni shida sana, unajua nishatembea na wife za watu sana. Sitaki ushahidi
watu na vipaji vyenuu
Ilikuwa zamani lakini.
mpaka sasa kuna watu wanaishi kwa sera ya MSINGI DUDE
Tehtehteh sasa unanichimba
kuku wa kienyeji nimegonga pentagoni nini?
umezidi michepuko na wewe bana khaaaaa...
Habarini Great thinkers?
Nimepigiwa leo saa tisa za usiku na hio number nikiwa, sikuipokea. Leo asubuhi tena imepiga nilikuwa niko wash room, sikupokea.
Nimepiga tigo hawaitambui. Mwenye idea yeyote na iyo number? Isikute ninaitwa kwenye interview na kampuni za nje. Nishatuma maombi yangu mengi sana Ulaya
Je, hujawahi kujaribu issues za online money making stuffs especially zile za binary option? Kama umeshawahi kujaribu, basi watakuwa ni hao jamaa coz' unlike other online money making stuffs, watu wa binary option wanategemea sana uwingi wa members, so unapofanya registration halafu wakaona upo kimya, lazima watakutafuta tu!Habarini Great thinkers?
Nimepigiwa leo saa tisa za usiku na hio number nikiwa, sikuipokea. Leo asubuhi tena imepiga nilikuwa niko wash room, sikupokea.
Nimepiga tigo hawaitambui. Mwenye idea yeyote na iyo number? Isikute ninaitwa kwenye interview na kampuni za nje. Nishatuma maombi yangu mengi sana Ulaya
Ni flash namba hiyo kaka, wakati mwingine huwa inatokea kupokea sms kutoka kwa mtu unayemjua lakin ukimuuliza anasema yeye hajakutumia sms yoyote! Ni mambo ya kimtandao hayo, na huwa inatokea sana hiyo! Usijali, kama ipo ipo tu kama kwenye usaili utaitwa sana na kazi utazipata sana! Be blessed!