mwenye kitabu hiki aniuzie...

Hamiyungu

JF-Expert Member
Sep 9, 2009
567
714
wana jf natafuta kitabu kiitwacho microeconomics with calculus kimeandikwa na waandishi wawili lakini namkumbuka mmoja tu anaitwa elizabeth hoffman,yeyote ambaye anacho na yupo tayari kuniuzia tuwasiliane.
 
unakihitaji lini?
Naweza kukipata.
 
Unataka akuuzie kwani ye bookshop. Zunguka maduka ya vitabu utakipata.
 
pole ndugu yangu hapa Jf wengine hawana msaada kabisa hapo juu ni viashiria, actually kitabu hicho utakipata mitaa ya samora kuna duka moja la wahindi pale
 
Wats so special abt that book.
Nimeshasoma vitabu vingi vya Microeconomics I prefer Mankiw na kile cha Varian
 
[h=2]Microeconomics With Calculus[/h] micr.jpg
upo tayari kutoa bei gani..nikuletee hicho kitabu?.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom