Mwenye jibu nampa zawadi

Mwenye jibu nampa zawadi

mkuu " ni masaki huko ' kuna bebez classic " ukienda kukutana nao shurti uinstore " Google Translate"... otherwise lazima " utawakimbia
Naongea "kisukuma" kama sina akili nzuri, wakae tayari na Google Translate hao!.
 
hahaaaa tangu " uongezewe damu na ule mchepuko wako wa masaki " basi akili zako " zimekuwa na urafiki na akili za Ellen musk "" siku sio nyingi utaanza kubuni mabomu wewe ""

Palantir. huyu jamaa " amepewa kitengo na NASA nini ''? hahaaa
Ninja Lugola mzee wa Nyatu Nyatu siku hizi hata kuingia jf umemkataza
 
hahaaa nani huyo aliyekatazwa mkuu "", sasa ulitaka dada yangu aharibikie humu wakati anasoma aisee ..Ninja lugola vipi ""!!
 
Kumbe ulivyomfuata pm ukagundua ni dada yako? Hizi fake id ni shida sasa.
 
hahaaa "" hapana Mimi ndiye niliyemfungulia Acc ya jf " dhumuni haswaa " lilikuwa nikumtaka aongeze knowledge" Ila sasa baada yakuona manyatu nyatu Kama wewe na wenzako " mnamtolea macho " nikampiga marufuku "'
 
Basi mwambie mi binamu yenu
 
Back
Top Bottom